Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi nyinyi wazee wa kubeti mnashindwa nini kutembea hivi??

√Man united win
√Chelsea DC
√Township rollers DC
√Juventus win
√Madrid win
√Liverpool vs Arsenal over 1.5

Am just kidding..on paper unaona kabisa huu mzigo unatoa..sasa weka mzigo uone
Juve hapo[emoji849]
 
2+ (a.k.a over 1.5) ...


1566638819949.png
 
Hebu tuache majungu, Fast bet huwa inaonyesha ushindi???[emoji848]
Watanzania tuna tabia za ajabu sana. Yaani watu wana wivu hata kwenye mambo ambayo hayatakiwi kuonewa wivu.

Kuna watu wana pesa wanaweza kuchezea Milion 1 bila shida ila kwa mwingine hiyo M1 ni pesa ya kulisha familia miaka miwili.

Masikini ana wivu kuliko mtu yeyote yule.
 
ODDS 80 hizo ZISIKUTISHE SANA, NI NAMBA TU HIZO, HATA 1.15 HUWA INAHARIBU KAZI.
Manchester United V Crystal Palace
W1 (1st half) 1.82
Norwich City V Chelsea
W2 (1st half) 2.3
Fulham FC V Nottingham Forest
W1 1.61
Sheffield United V Leicister City
W2 2.22
Watford V Westham United
W2 3.3
Ufa V Zenit Petersburg
W2 1.64
 
Watanzania tuna tabia za ajabu sana. Yaani watu wana wivu hata kwenye mambo ambayo hayatakiwi kuonewa wivu.

Kuna watu wana pesa wanaweza kuchezea Milion 1 bila shida ila kwa mwingine hiyo M1 ni pesa ya kulisha familia miaka miwili.

Masikini ana wivu kuliko mtu yeyote yule.
Sure Mkuu Kuna watu wana Wivu Wa kike.
 
Back
Top Bottom