Unaweka timu ishirini halafu unatia buku unasubiri milioni. Kila siku unakuwa unalalamika tu timu moja tu.[emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa ndio anabet, wengine tunacheza kamari
Respect to you brotherYani ukiweka mzigo mkubwa utakula sanaaa. Mimi nilianza na mtaji wa 2M lakini toka League zianze hizi week mbili nina faida ya 10M
Kweli kabisa mtaji ni Tatizo. Nilikaa chini nikawaza sana.kama mtu anaweza weka timu ishirini na team moja tu ikamchania hawezi kosa team moja yenye probably kuanzia 80 ya kushinda. Ila hasikwambie mtu, ukitia 1M unatetemeka mpaka korodani. Sasa hivi mimi sina woga sababu nachezea hela yao tu.Tatizo ni mitaji
Ukiwa na Milioni ni rahisi kuingiza 300000 kwa wiki kama ukiamua kucheza mara moja tu
Unatembelea gari ganii mkubwaYani ukiweka mzigo mkubwa utakula sanaaa. Mimi nilianza na mtaji wa 2M lakini toka League zianze hizi week mbili nina faida ya 10M
Mkuu kutafuta hela ya kununua gari sababu ya Betting utakufa na presha. Chakufanya acha kuonga, na starehe za kijinga then hiyo hela ndio tumia kubet, ukiliwa utakua kama umeonga vile,Unatembelea gari ganii mkubwa
Hapa umesema kitu mkuu..Betting ni biashara ila sisi tunaobeti hatuichukulii kama biashara.
Wenye kampuni kwao mi biashara kabisa.
Biashara yoyote yahitaji mtaji ili profit iwe kubwa. Mtaji ukiwa mdogo hutafika popote mwisho wa siku utakula hadi mtaji.
Ukiwekeza mtaji wa maana na ukaacha tamaa
Ukajiwekea lengo labda kwa mwezi unataka milioni 1 tu na si zaidiya hapo.
Uhakika wa kuipata ni mkubwa sana
Tatizo timu nyingi hela ndogo.
Hizi kampuni zinajua huu mchezo ni tamaa na ndo maana wanacheza na odds tu.
Tukumbuke kampuni nazo hununua odds na kushusha kidogo ili wapate faida .
Sisi tukiacha tamaa hakika tutafika mbali
Nimeona hili nikashangaa sana. Yanga hawezi kushinda kule kwa Makhirikhiri.Jaman ndugu zangu katika kutafuta! Township Kapewa 3.02 Yanga kapewa 2.20 nataka kuliuwa chama langu niweke 1M. Naombeni ushauri.
Yanga wanaenda kufa 2:0 huko iseeJaman ndugu zangu katika kutafuta! Township Kapewa 3.02 Yanga kapewa 2.20 nataka kuliuwa chama langu niweke 1M. Naombeni ushauri.
Namuua yanga mazima nilimkosa hapa taifa akachomoa mwishoni na ile penaltNimeona hili nikashangaa sana. Yanga hawezi kushinda kule kwa Makhirikhiri.
Yanga hawezi kupata ushindi kule.Namuua yanga mazima nilimkosa hapa taifa akachomoa mwishoni na ile penalt
Fast bet iyo hajalipiaHii ndio betting sasa unaweka milioni inakuja milioni nyingine sio unaweka buku halafu unasubiri milioni.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijutii kubet maana pombe sinyi, sihongi, siendi club yaani hata kubet nisibet. Nitakuwa mwanadamu wa ajabu kupata kutokea.
Ni wivu tuuFast bet iyo hajalipia