Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,942
Za asubuhi ndugu zanguni.Nataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000[emoji23][emoji23] . Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .
Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .
Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023
Jioni ntawaletea uchambuzi wa jackpot sportpesa ya tz bure kabisa.
Atakaeshinda ndo bingwa[emoji41][emoji41]
Parttime nasomea leseni ya ukocha,najfunza kuangalia match kwa jicho la 3 kabla haijaanza[emoji3]
Nb.itawafaa zaidi wanaoweka double chance,sitawaangusha wale wa option zngne,ila team ztakua 13 tu.
Stay tuned,,[emoji3544]