Wazee kama kuna mtu anatumia 1xbet anataka awe ana withdrawal kwa kiwango cha chini na kwa urahisi au kudeposit ni process ndefu kidogo lakini uvumilie makato
Nenda kwenye website hii
www.crex24.com then create account( hii ni website ya cryptocurrency trading na pia hata gambling na unaweza ukapiga nayo ) ukishamaliza kucreate verify kila kitu maana inasecure sana
inazaidi ya njia mia ya kudeposit na kuwithdrawal plus zote za 1xbet
Najua watu wananunua bitcoin wakishadeposit kwenye 1xbet kuwithdrawal ndo inakuwa mziki
Sasa chakufanya ni hichi nunua bitcoin kwenye localbitcoin.com ukishamaliza kununua nenda kwenye ile website ya crex24 nenda sehemu ya deposit copy addres ya bitcoin( iliyoandikwa bitcoin yenyewe maan ziko crypto nyng zinazotumia jina hlo kama bitcoin cash)
ukishaicopy hyo address we fanya transaction
Ukimaliza kufanya transaction ela itakuwa imeshaingia kwenye crex24
nenda kwenye website ya 1xbet nenda sehemu ya kudeposit alaf copy address ya bitcoincash na sio bitcoin
Alaf nenda kwenye website ya crex24 nenda sehemu ya kuwithdrawal zipo njia nying sana scroll mpaka ukute sehemu imeandkwa bitcoin cash then paste ile address apo andika kiasi unachotaka kutuma then itakuwa tayari ishafika kwenye 1xbet
Njia ya bitcoin cash ni nzur kwa sabab unaweza kuwithdrawal kuanzia 400
kwenye kuwithdrawal sasa
nenda kwenye website ya crex24 sehemu ya kudeposit then scroll had kwenye bitcoincash then copy addresß
ukishaicopy nenda kwenye 1xbet sehemu ya withdrawal then paste ile address kwenye bitcoin cash andika kias unachokitaka kukitoa then comfirm pesa inafka saa hyo hyo kweny crex 24
ikishafka kwenye crex24 nenda kwenye website ya localbitcoin nenda sehemu ya receive bitcoin kwenye akaunt yako copy hyo address
ukishamaliza nenda kwenye crex24 sehemu ya withdrawal tafuta bi