Shukran mkuuTeam team ipate goli ngapi.. Mfano home team Over 1.5, maana yake timu ya nyumbani ipate magoli kuanzia 2 kwenda juu nad vice versa
Shukran mkuuTeam team ipate goli ngapi.. Mfano home team Over 1.5, maana yake timu ya nyumbani ipate magoli kuanzia 2 kwenda juu nad vice versa
This is money laundering....kudos big bredaMapema sanaaaa View attachment 1188351
Acha katafute watoto yatima uwapeWadau vipi mi ni mgeni kabisa na haya mambo ya kubet,nimeokota 25 hapa sasa mi mi sio mlevi,nimetafuta wa kumuonga hakuna nikasema ngoja nibeti leo vipi nilipie huu mkeka??View attachment 1188515
Acha kumpangiaa matumiziiiiAcha katafute watoto yatima uwape
Mi nimetaka kuibetia mkuu kwani kuna tatizoAcha katafute watoto yatima uwape
Win 100%.....!!!Wadau vipi mi ni mgeni kabisa na haya mambo ya kubet,nimeokota 25 hapa sasa mi mi sio mlevi,nimetafuta wa kumuonga hakuna nikasema ngoja nibeti leo vipi nilipie huu mkeka??View attachment 1188515
AsanteeWin 100%.....!!!
Mi nimetaka kuibetia mkuu kwani kuna tatizo
uko gudi kwa stake zako za m,bado wachomoa betri awajakuona.[emoji13]Respect to you brother
Sawa ... ngoja nikufuate. Naanza na mtaji 1mYani ukiweka mzigo mkubwa utakula sanaaa. Mimi nilianza na mtaji wa 2M lakini toka League zianze hizi week mbili nina faida ya 10M
Jokes tu mkuu hizoHapana bet sema hizo sjui sio mlevi sjui sina wakumuonga kujichoresha
Kwani ukiweka stake kubwa hailiwi?hivi unaliwa kwasababu ya stake ndogo au kwasababu umekosea kubashiri?Mimi nafikiri kuweka stake kubwa kunakufanya upate profit kubwa pale utakapo shinda.na utakapoliwa ni kinyume chake.kwahiyo tofauti ni ukubwa wa profits/loss tu.so vinginevyomtaji
Yani kila ulipokuwa unaweka ulikuwa una win tu?haukuwa unaliwa?
Haya njia nyngne ya rahisi lakin huwa inazingua skrill
Fungua account yako ya skrill verify kila kitu na pia muhimu ni Kitambulisho cha taifa
ukishamaliza eka ela kwenye skrill kupitia mpesa mastercard au card ya bank
ukishamaliza hapo nenda kwenye 1xbet sehemu ya deposit then skrill alaf fuata process zote ambazo 1xbet watakupa
kwenye kuwithdrawal hvyo hvyo fuata process zot ni easy sana
ela ikishafika kwenye skrill nenda sehemu ya withdrwal utaon njia ya bank ambayo inachukua kuanzia cku tatu au saba na pia utaona bitcoin
ukiwithdrawal ela yako kwa njia ya bitcoin unaipata hapo kwa hapo kama una wallet ya localbitcoin
hzo process za bitcoin watu wanazijua
Na pia kama kuna mtu analine ya safaricom pia inafaa kuwithdrwal na kudeposit kwenye skrill
NB/ cha muhimu ni uverify acount yako ndo utaenjoy maisha
imebidi tu nimpe handcape ya 2Nimemwomba ASTON VILLA anipigie EVERTON kwa odds 3+
Huku ni kujitoa mhanga