Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,141
- 1,319
Tembea nalo hilo safi na salamaMkuu ni bomu nini?? [emoji50][emoji50][emoji50]
Tembea nalo hilo safi na salamaMkuu ni bomu nini?? [emoji50][emoji50][emoji50]
Dash! Maake wamenila mnooTembea nalo hilo safi na salama
Hahaaa...Mm ningekuwa goalkeeper ningekuwa nacheza michezo hatari[emoji23][emoji23][emoji23]Wadau hivi hatuwezi kuchanga mchango wabetiji wote tumnunue goalkeeper mmoja wa ligi mfano ruvu shooting aruhusu kufungwa magoli mengi sana akicheza na team kubwa kama yanga au simba.
Yaani tunampanga kwamba bwana kwenye mechi hii hata iweje hamponi, kwa hiyo ruhusu goal 8 tunakupa milioni 8 baada ya dk 90, halafu wabetiji wote tunatoka na OVER 7.5 kama NECTA iliyovuja, wengine wanajilipua na correct score 8-0 au 8-1 manake na wao wanaweza kubahatisha wakapata kagoli kamoja.
Ganda la ndizi[emoji529]ilo kazi kwenu. MUNGU MBARIKI ATAKAE FATA MKEKA HUU[emoji1241]View attachment 1188202
[Ganda la ndizi[emoji529]ilo kazi😅😅😅😅😅Hahaaa...Mm ningekuwa goalkeeper ningekuwa nacheza michezo hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tujaribu mkuuGanda la ndizi[emoji529]ilo kazi kwenu. MUNGU MBARIKI ATAKAE FATA MKEKA HUU[emoji1241]View attachment 1188202
Hahaaa...Mm ningekuwa goalkeeper ningekuwa nacheza michezo hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
mi ndo nimekuelewa zaidi..Wadau hivi hatuwezi kuchanga mchango wabetiji wote tumnunue goalkeeper mmoja wa ligi mfano ruvu shooting aruhusu kufungwa magoli mengi sana akicheza na team kubwa kama yanga au simba.
Yaani tunampanga kwamba bwana kwenye mechi hii hata iweje hamponi, kwa hiyo ruhusu goal 8 tunakupa milioni 8 baada ya dk 90, halafu wabetiji wote tunatoka na OVER 7.5 kama NECTA iliyovuja, wengine wanajilipua na correct score 8-0 au 8-1 manake na wao wanaweza kubahatisha wakapata kagoli kamoja.
Pia HT goli litapatikana.Malaysian Cup
Negeri Sembilan vs Terengganu G.G
Odds. 1.53
Stake. 1,000,000.
Haha vp uliwapa?Mzee wa live hawa russia u21 vipi nataka niwape over 0.5 ht
Haha vp uliwapa?
[/Qsikuweka ila walipata
Mnao angalia mpira huyu kcm anamatumaini kwwli au tumuue mazima odd 2
Na lishapatikana dakika ya 4 tu[emoji23][emoji23][emoji23]Pia HT goli litapatikana.