Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Kwanini usimpe wewe tu afu ubet mwenyewe?Wadau hivi hatuwezi kuchanga mchango wabetiji wote tumnunue goalkeeper mmoja wa ligi mfano ruvu shooting aruhusu kufungwa magoli mengi sana akicheza na team kubwa kama yanga au simba.
Yaani tunampanga kwamba bwana kwenye mechi hii hata iweje hamponi, kwa hiyo ruhusu goal 8 tunakupa milioni 8 baada ya dk 90, halafu wabetiji wote tunatoka na OVER 7.5 kama NECTA iliyovuja, wengine wanajilipua na correct score 8-0 au 8-1 manake na wao wanaweza kubahatisha wakapata kagoli kamoja.