Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi odds 2.90+ za Township dhidi ya Yanga mhindi anatutega au ndio anamaanisha.
Tunaweza kujipeleka kwenye mdomo wa mamba bila kujua! Kwa upande wangu sijaziacha, nimelala nazo mbele
 
Oy Siku nyingi sjatokea nmekuja na zawad ywnu atakaepuuzia kaz kwake
Screenshot_20190824-085032.jpeg
 
Wazee kama kuna mtu anatumia 1xbet anataka awe ana withdrawal kwa kiwango cha chini na kwa urahisi au kudeposit ni process ndefu kidogo lakini uvumilie makato

Nenda kwenye website hii www.crex24.com then create account( hii ni website ya cryptocurrency trading na pia hata gambling na unaweza ukapiga nayo ) ukishamaliza kucreate verify kila kitu maana inasecure sana

inazaidi ya njia mia ya kudeposit na kuwithdrawal plus zote za 1xbet

Najua watu wananunua bitcoin wakishadeposit kwenye 1xbet kuwithdrawal ndo inakuwa mziki

Sasa chakufanya ni hichi nunua bitcoin kwenye localbitcoin.com ukishamaliza kununua nenda kwenye ile website ya crex24 nenda sehemu ya deposit copy addres ya bitcoin( iliyoandikwa bitcoin yenyewe maan ziko crypto nyng zinazotumia jina hlo kama bitcoin cash)


ukishaicopy hyo address we fanya transaction

Ukimaliza kufanya transaction ela itakuwa imeshaingia kwenye crex24

nenda kwenye website ya 1xbet nenda sehemu ya kudeposit alaf copy address ya bitcoincash na sio bitcoin

Alaf nenda kwenye website ya crex24 nenda sehemu ya kuwithdrawal zipo njia nying sana scroll mpaka ukute sehemu imeandkwa bitcoin cash then paste ile address apo andika kiasi unachotaka kutuma then itakuwa tayari ishafika kwenye 1xbet

Njia ya bitcoin cash ni nzur kwa sabab unaweza kuwithdrawal kuanzia 400


kwenye kuwithdrawal sasa
nenda kwenye website ya crex24 sehemu ya kudeposit then scroll had kwenye bitcoincash then copy addresß

ukishaicopy nenda kwenye 1xbet sehemu ya withdrawal then paste ile address kwenye bitcoin cash andika kias unachokitaka kukitoa then comfirm pesa inafka saa hyo hyo kweny crex 24


ikishafka kwenye crex24 nenda kwenye website ya localbitcoin nenda sehemu ya receive bitcoin kwenye akaunt yako copy hyo address
ukishamaliza nenda kwenye crex24 sehemu ya withdrawal tafuta bi
Mkuu Jesse008 mbona maelezo yako mwishoni ni kama hujamalizia kuelezea?
 
Wakuu iv betpawa nao wameanza mambo ya kodi
Naona na deposit wanakata na nki bet pia ela inapungua
 
IMG_20190824_085037.png
IMG_20190824_085049.png
IMG_20190824_085057.png


Duniani kuna ma ajabu sana mara paap imetoka, watu weweeee, angalia kama kuna sehemu patakufaa..
 
Hivi nyinyi wazee wa kubeti mnashindwa nini kutembea hivi??

√Man united win
√Chelsea DC
√Township rollers DC
√Juventus win
√Madrid win
√Liverpool vs Arsenal over 1.5

Am just kidding..on paper unaona kabisa huu mzigo unatoa..sasa weka mzigo uone
Kwa macho unaona kwel, ngonja dimban uone kinachotokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom