Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Huu uzi una maswali ya kujirudia rudia hadi umeonekana kama uzi wa 'huduma kwa mteja'.Hadi kero bana.
Aliyeanzisha huu uzi alijaribu kutoa ufafanuzi kwenye mambo kama hayo ila sidhani kama kuna mtu anasoma Page ya kwanza kabla hajaamua kuuliza.