Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,356
ngoja niweke 50k kwa simba apate goal mbili tu odd 1.91Ipo Parimatch
ngoja niweke 50k kwa simba apate goal mbili tu odd 1.91Ipo Parimatch
Mkuu nimefurahi kukuona hukungoja niweke 50k kwa simba apate goal mbili tu odd 1.91
Kama acc yako ina cash naomba ubipunguzie kwa acc yangu niku cash kupitia Mobile money..ngoja niweke 50k kwa simba apate goal mbili tu odd 1.91
Natumia parimatch mkuuKama acc yako ina cash naomba ubipunguzie kwa acc yangu niku cash kupitia Mobile money..
Hivi kodi siku hizi wanakata 20% bet company zote eeh!!?Baada ya kupigwa sana na BETPAWA kwa option za 1.5 unakuta match moja inachana nikajaribu DC ya 12 ikajibu.View attachment 1190811
Mchomoa betri[emoji3][emoji3]ngoja niweke 50k kwa simba apate goal mbili tu odd 1.91
aise naomba anichomolee betri kwa goal mbili tu nivute hela ya biaMchomoa betri[emoji3][emoji3]
Nimewapa mikia fc..naombea yafungwe nipate furaha,au yashinde nile pesa
Hapo ndio ugumu ulipo.Tatizo litakuja kwenye Withdrawal
nimetia laki moja simba ushindi na goli zifike mbili maombi yenu jaman
parimatchKAMPUNI gan Kaka
Kati ya furaha na pesa bora kipi mkuu?Mchomoa betri[emoji3][emoji3]
Nimewapa mikia fc..naombea yafungwe nipate furaha,au yashinde nile pesa
WON, wish ningeweka laki 5aise naomba anichomolee betri kwa goal mbili tu nivute hela ya bia
Nakuona.... Mkuu kwa wakala haponimetia laki moja simba ushindi na goli zifike mbili maombi yenu jaman
Aiseeeee👍Hii Pesa ya bure. Tukutane baadaye[emoji39]View attachment 1192912