Una mtaji wa kiasi gani kwanza....Wakuu mimi nimechoka kubet na kupata hela kidogo. Ni strategy gani mtu utumie ili kuweza kupata hela ya maana
Baharia bana...Mroge Kanji tu[emoji16][emoji16]Wakuu mimi nimechoka kubet na kupata hela kidogo. Ni strategy gani mtu utumie ili kuweza kupata hela ya maana
Nilipost hii na nikatoa maneno ya mbwembwe kidogo hatimaye yamekuwa kweli....we endelea kuogopa betting is taking risk [emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] gudnight guysKuna wakati muhindi huwa anajisahau....
Kosovo wapo vzur kwa sasa naona game ngumu lakini naona kabisa goli tatu na Gg IPO hapa!!!
Mabaharia twende sawa hapa!!!View attachment 1203716
Naona umeshafunga hesabu dk 20 tu za kwanza.OK GG TAYARI TUNASUBIRIA GOLI MOJA TUFUNGE HESABUView attachment 1203942
Hii pesa niliona so sikutaka kuchezea fursaNaona umeshafunga hesabu dk 20 tu za kwanza.
Mi nilikufuata kiivi nasubiri mafao ya uzeeniNilipost hii na nikatoa maneno ya mbwembwe kidogo hatimaye yamekuwa kweli....we endelea kuogopa betting is taking risk [emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] gudnight guys
Mi nilikufuata kiivi nasubiri mafao ya uzeeniView attachment 1203959
Natumia card Brother..hofu ni hiyo vitambulisho cjui nini..sasa mfn iko milion 3(mfano) nikitoa kdgkdg hawatakuja shtukia?Unatoa tu mkuu
Ili mradi iwe ni njia ile ile uliyofanyia deposit
Ukitoa kuanzia milioni kadhaa ndio issue za vitambulisho linaanza
Unatumia njia ipi?
Loooh! Bet imekua Lost...hata kona moja ya kusingiziwa hakuna, hawajapewa ndani ya 45 mins za awali..duuu kama uli-fix hii gameπ§π§mzee baba umeelewa hiyo market au umezipenda hizo 2.74 odd ,hapo kila timu ipate kona si rahisi andola au Kosovo kupata kona hata ya kupewa
π§π§π§π§Pesa hiyo mkuu weka mzigo
Pole sana mkuu!![emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]