Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Hahaha umejuaje mkuu nimeweka 2k tu daah yaan nimeumia mnoShida hapo ni hukuweka Laki tu!!
Hahaha umejuaje mkuu nimeweka 2k tu daah yaan nimeumia mnoShida hapo ni hukuweka Laki tu!!
Hahaha nimeweka 1000 akiwa na odds 13,nikaweka tena buku akiwa na odds 17Ukiweka laki unachanika Ila ukiweka 1000 unatick muhindi mchawi kweli kweli
Sio mbaya mkuu at least umepata pesa ya kumrushia tigo pesa yule umpendayeHahaha nimeweka 1 akiwa na odds 13,nikaweka tena buku akiwa na odds 17
Hahaha mkuu mkuu nimeamka account ina sh 2000 sasa hiv inasoma 30K biashara nimemaliza asubuhi kabisa kwa leoSafi sana huyu ndo baharia mwenyewe...sifa moja wapo ya baharia ni kufanya maamuzi magumu katika wakati usioelezeka
Safi sana mm game zangu za Leo zinaanza xa mbili usiku iseeHahaha mkuu mkuu nimeamka account ina sh 2000 sasa hiv inasoma 30K biashara nimemaliza asubuhi kabisa kwa leo
Itakuwa sasa hivi kafikisha million 50Hivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
Huyu hapa Going ConcernHivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
Hebu mtafuteni tumjulie hali iseeHuyu hapa Going Concern
Kumbe mtu akileta mkeka humu inaonekana kama kujionesha eeh?Hivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
May be anasubiri mechi za kimataifa ziisheHivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
Nakuaminia bahariaKumbe mtu akileta mkeka humu inaonekana kama kujionesha eeh?
Kwa taarifa yako tu, naliwa sana na nakula sanaaa. Jana nilifata Game ya Qatar Half with more goals Second Half nikaweka 2M wakapita nayo.
Lakini nikifanya analysis toka League zimeanza mpaka leo hii nina zaidi ya 20M profit. Ngoja Jmos nitakuonesha mkeka wa 5M.
Mkuu mm sijakusema kwa ubaya utambue hilo kwanza sifa ya watu wanaobet katika jumuiya kama hii kujuana hali ni vizuri so unapomuona Fulani hayupo lazima uwe doubt kidogo ndo maana nikaulizia mzee baba!! Maana muhindi hajawah kumuacha MTU salamaKumbe mtu akileta mkeka humu inaonekana kama kujionesha eeh?
Kwa taarifa yako tu, naliwa sana na nakula sanaaa. Jana nilifata Game ya Qatar Half with more goals Second Half nikaweka 2M wakapita nayo.
Lakini nikifanya analysis toka League zimeanza mpaka leo hii nina zaidi ya 20M profit. Ngoja Jmos nitakuonesha mkeka wa 5M.
Labda yupo bze anajenga mkuuHivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
Hii option ya penat mbona mi siionag kwangu betpawa mzee au ?Stake what you can afford to lose View attachment 1203748
sio kila.mechi ni league kubwa na mechi za.kimataifa sanasanaHii option ya penat mbona mi siionag kwangu betpawa mzee au ?