BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,011
MPPWAAA NYOKOSANA HAWA JAMAAA AANAA TUHahah ... kwamba wao wanile kimya kimya hata 100m, ila mm nikiwabutua wanianike ili niwe chambo wa kuwaletea wateja zaidi. Huu ni ukuda ! Respect privacy za watu.
Watafute watu wa matangazo, ambao tunawaona kwenye mabango/matangazo mbalimbali ya kibiashara.
Waache tuendelee kulana kimya kimya hivi hivi.