Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah!
Screenshot_20190911-120309.jpeg
 
Waache unafiki,tena umewajibu on spot
Kumbe mtu akileta mkeka humu inaonekana kama kujionesha eeh?

Kwa taarifa yako tu, naliwa sana na nakula sanaaa. Jana nilifata Game ya Qatar Half with more goals Second Half nikaweka 2M wakapita nayo.
Lakini nikifanya analysis toka League zimeanza mpaka leo hii nina zaidi ya 20M profit. Ngoja Jmos nitakuonesha mkeka wa 5M.
 
NORWAY LEAGUE 2


SOTRA VS ELVERUM


OVER 2.5 GOALS


👉 TURKEY CUP


BAYRAMPASA VS BIGASSPOR


BAYRAMPAS KING TEEH: VENEZUELA LEAGUE


ESTUDIENTES VS CARACAS


CARACAS OR DRAW


👉1.50
 
Ukitakakulashartiuliwe


Hahah ... kwamba wao wanile kimya kimya hata 100m, ila mm nikiwabutua wanianike ili niwe chambo wa kuwaletea wateja zaidi. Huu ni ukuda ! Respect privacy za watu.
Watafute watu wa matangazo, ambao tunawaona kwenye mabango/matangazo mbalimbali ya kibiashara.

Waache tuendelee kulana kimya kimya hivi hivi.
 
Habari yenu wazee wa kazi.

hivi wakati unanunua local bitcoin unatakiwa umpigie simu seller kuwa unataka kununua kwake au process zinakuaje?
 
Kwakweli hata Mimi tabia ya kuwekana kwenye matangazo siipendi
Niliachana na Sportpesa kwa sababu ya hii tabia ya kuitwa ofisini ukapige nao picha. Huku Betpawa haikuwepo hii kitu, nakumbuka niliwahi kulamba mil.8 huku Betpawa mzigo uliingia kimyakimya. Haya matangazo yao ya sasa sio poa kwa sisi Mabaharia
 
Wazee nataka kuingia kwenye hii kitu lakini sijui kampuni nzuri ya kubeti na kumalizana kimyakimya ni ipi!!
 
Hivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
Hahahah nimemmiss sana
 
Back
Top Bottom