Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chelsea tia maji Norwich jasho ..Cardiff jasho darajani hapo sembuze kwa ureno team.....nitarudi kwa mrejesho zaidi
 
ya pili hiyo
Screenshot_20190912-195328.jpeg
 
Msaada please!!hivi betpawa ukiplace mkeka kwa bahati mbaya unafanyaje ili ukancel?
 
Leo kuna mswaada umepitishwa bungeni kuhusu hii biashara yetu pendwa na naskia wamezidi kutubana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nenda kwenye website kabisaa alafu fikia pitia kwenye balance kwanza [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom