Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,141
- 1,319
Mbona wapo wengi tu walio nayo nenda twitaniiInawezekana ni kigogo mwenyewe id nyingne maana iyo avater hamna mwingne anayo zaid ya kigogo2014
Mbona wapo wengi tu walio nayo nenda twitaniiInawezekana ni kigogo mwenyewe id nyingne maana iyo avater hamna mwingne anayo zaid ya kigogo2014
Ahahah unanisakazia kwa wazee wa systemMkuu una undugu na Kigogo2014?
alafu nae amejoin humu kitambo kidogo mm nilishashtukia hilo
Maisha ya kubet yana raha na karaha zakeHahahaha ... jamaa alianza kuagiza kbs !!! Pole yake
waga kuna harufu kananinukia kuwa ni weweKigogo ni role model wangu
waga kuna harufu kananinukia kuwa ni wewe
mkuu hata betpawa wanatabia kama hiyoKubeti princesbet yataka moyo
Timu zimefungana 2-2 dakika ya 70,
Lakini wao wameanza na over 5.5. Hapo manake wanaitafuta hela yako kwa nguvu.
wanakera sana hawa kwenye live. Kuna muda unakuta wameweka option za kuwapendelea wao tu, yaani unascroll hadi chini unakuta hakuna option yenye unafuu.mkuu hata betpawa wanatabia kama hiyo
mkuu hata betpawa wanatabia kama hiyo
ivi hii over ya 1.5 ni ya kipindi cha kwanza au?ʟᴇᴏ ᴄᴀʀʟᴏᴜѕ ᴠɪᴘ
[emoji993][emoji993] ᴅᴀᴛᴇ : 16/09/2019 [emoji353]
[emoji993]ʟᴇᴀɢᴜᴇ:Serbia
[emoji993] ᴛɪᴍᴇ:15:30(ɢᴍᴛ+2)
[emoji993]ᴍᴀᴛᴄʜ:OFK Zarkovo-Radnicki Krag.
[emoji993] ᴛɪᴘ🙁X)FT
[emoji993] ᴏᴅᴅѕ:4.00
?ᴀʟʟ ᴄᴀʀʟᴏᴜѕ ᴀʀᴇ ғɪϰᴇᴅ ᴀᴄᴄᴜʀᴀᴛᴇ, ᴊᴏɪɴ ᴠɪᴘ ғᴏʀ ᴍᴏʀᴇ ᴡɪɴɴɪɴɢ[emoji3][emoji964]
ʟᴇᴏ ᴄᴀʀʟᴏᴜѕ ᴠɪᴘ
[emoji993][emoji993] ᴅᴀᴛᴇ : 16/09/2019 [emoji353]
[emoji993]ʟᴇᴀɢᴜᴇ:ɪsʀᴇᴀʟ
[emoji993] ᴛɪᴍᴇ:18:00(ɢᴍᴛ+2)
[emoji993]ᴍᴀᴛᴄʜ:ʙᴇɪᴛᴀʀ ᴊᴇʀ'ʟᴇᴍ-ʜᴀᴘᴏᴇʟ ʜᴀɪғᴀ
[emoji993] ᴛɪᴘ🙁x/x)ʜᴛғᴛ
[emoji993] ᴏᴅᴅѕ:7.00
?ᴀʟʟ ᴄᴀʀʟᴏᴜѕ ᴀʀᴇ ғɪϰᴇᴅ ᴀᴄᴄᴜʀᴀᴛᴇ, ᴊᴏɪɴ ᴠɪᴘ ғᴏʀ ᴍᴏʀᴇ ᴡɪɴɴɪɴɢ[emoji3][emoji964]
Hamna over apoivi hii over ya 1.5 ni ya kipindi cha kwanza au?