Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Manchester wakiwa kwake, akicheza na Astana, kaishia kupata goli moja. Hata over 1.5 imemshinda. [emoji23][emoji23]
 
BOOOOOOOMED
CONGS IF U PLAYED
Celtic drw
Copenhagen's win
lazio gg&ov2.5
Porto win&2.5 (2 odds)
Wolfsburg win/Roma win &2.5 (3 odds maxb)

KAA GENT WIN & OV1.5
2.20 odds
 
Wako nisaidieni jinsi ya kujiunga princess bet,tangu jana nahangaika,wananiletea "GSM number already exist"
Damn sielewi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…