Kuna ka equation kametengenezwa hapa yawezekana hii site ya 1xbet ikawa imefuatwa rasmi kwa Tanzania. jana tuu niidepost kwa ABC card kupitia app ya PC fasta, leo mchana nikatumia PC NYINGINE AMBAYO SIJA INTSLL APP YA 1XBET na nilitumia web kwa zile mirror link yakaja hayo makorokocho nikashindwa maana nilijaribu yote ikagoma. Sasa hivi nahangaika kupitia app mambo wameshabadilisha haiwezekaniki tena, hata zile link za web hazikubali tena....imbombo ngafu....amangana gasarikile........ yalemaga lulu!!! kwalema mmekuMkuu sio kwamba ni leo ndio naanza huwa naweka muda tu sema leo nimekuta mabadiliko kwenye system yao hivyo nataka wanaotumia banc Abc visa cash card ndio inaitwa ivyo haijaandikwa visa electron wala visa debit or credit so atakaefanikisha kuweka kuanzia leo anishtue
Nimekujib kwa picha labda hiyo 1xbet yako tofauti na ninayoitumia mimiWakuu mtu yoyote atakaefanikisha kudeposit ela kwenye 1xbet kwa kutumia card ya banc abc anielekeze maana nimekuta mabadiliko nimeshindwa hapo sijui nichague visa ipi maana nimejaribu zote imegomaView attachment 1212141
Mbn huku kwangu inaonekana hivKuna ka equation kametengenezwa hapa yawezekana hii site ya 1xbet ikawa imefuatwa rasmi kwa Tanzania. jana tuu niidepost kwa ABC card kupitia app ya PC fasta, leo mchana nikatumia PC NYINGINE AMBAYO SIJA INTSLL APP YA 1XBET na nilitumia web kwa zile mirror link yakaja hayo makorokocho nikashindwa maana nilijaribu yote ikagoma. Sasa hivi nahangaika kupitia app mambo wameshabadilisha haiwezekaniki tena, hata zile link za web hazikubali tena....imbombo ngafu....amangana gasarikile........ yalemaga lulu!!! kwalema mmeku
Mkuu sasa ivi haina muonekano huu tena mkuuNimekujib kwa picha labda hiyo 1xbet yako tofauti na ninayoitumia mimiView attachment 1212355View attachment 1212356View attachment 1212357
Hapo hata mimi nimefika, na ni kitu kipya kimerekebishwa leo nimejaribu kuendelea kulipa lakini niki cofirm inatoa error na kwenye account inaleta msg kuwa rejected by opperatorMbn huku kwangu inaonekana hiv
View attachment 1212359
Sasa ivi ndio inavyoonekana ivyo mkuuMbn huku kwangu inaonekana hiv
View attachment 1212359
Mkuu sasa ivi haina muonekano huu tena mkuu
Kwangu mbn iko fresh kama kawaidaSasa ivi ndio inavyoonekana ivyo mkuu
Mastercard au Visa card ni world-wided pattern na zile E-payments system nazo pia!! Kwahy hapo nothing wanaeza fanya.Imeanza kama walivyotumaliza kwenye mobile tukawa na matarajio labda kesho kumbe ndio hivyo tena hadi leo
Imeanza kama walivyotumaliza kwenye mobile tukawa na matarajio labda kesho kumbe ndio hivyo tena hadi leo
Licha ya hivyo, mi nimeweka hela kupitia skrill via bank card haiba hizohizo na ikakubali japokua skrill accnt ina 0UsdIla mimi leo nimeweka pesa fresh ila tatizo lawez likawa kwa tz maana mimi 1xbet yangu nilisajir kwa lain ya kenya safaricom.. Pamoja na vpn, so kwangu mimi naendelea kupeta na 1xbet
Hapa mamlaka husika zimeshaa nusa hivyo tusitarajie tena hii kitu. Mabenk yameshapigwa bit wakaifungia fedha isikubali kwendaIla mimi leo nimeweka pesa fresh ila tatizo lawez likawa kwa tz maana mimi 1xbet yangu nilisajir kwa lain ya kenya safaricom.. Pamoja na vpn, so kwangu mimi naendelea kupeta na 1xbet
Licha ya hivyo, mi nimeweka hela kupitia skrill via bank card haiba hizohizo na ikakubali japokua skrill accnt ina 0Usd
Hapa mamlaka husika zimeshaa nusa hivyo tusitarajie tena hii kitu. Mabenk yameshapigwa bit wakaifungia fedha isikubali kwenda