nimeona sehem jamaa hatak kutaj jina lake ndo maana nimewaulizaYaan wewe ndio umepost alafu unatuuliza tena sisi?
Wewe umeitoa wapi?
Zisikuchanganye hizo wengine wanaedit tu baada ya matokeonimeona sehem jamaa hatak kutaj jina lake ndo maana nimewauliza
Iyo namba ulisha isajili uko princessbet chakufanya nenda sehemu ya forgot password ufanye ku reset uset mpyaWako nisaidieni jinsi ya kujiunga princess bet,tangu jana nahangaika,wananiletea "GSM number already exist"
Damn sielewi kitu.
oaky nimekuelewaZisikuchanganye hizo wengine wanaedit tu baada ya matokeo
OMBA MUNGU UIPATE SIKUMOJA KABLA YA MECHI KUCHEZWAapp gan hiiiView attachment 1211709
Mbona sizioni hizo..,?Nadhani hizo popular bet za betpawa ukistake match mbili mbili utamla muhindi.
Natumia NMB MasterCard naclick hiyo MasterCard hapo in one minute transaction inasoma na withdraw na kudeposit Mana ina support withdraw na deposit cjui kwako ina shida gani inabidi ujue hiyo card yako ni card ya aina ganiWakuu mtu yoyote atakaefanikisha kudeposit ela kwenye 1xbet kwa kutumia card ya banc abc anielekeze maana nimekuta mabadiliko nimeshindwa hapo sijui nichague visa ipi maana nimejaribu zote imegomaView attachment 1212141
Mkuu sio kwamba ni leo ndio naanza huwa naweka muda tu sema leo nimekuta mabadiliko kwenye system yao hivyo nataka wanaotumia banc Abc visa cash card ndio inaitwa ivyo haijaandikwa visa electron wala visa debit or credit so atakaefanikisha kuweka kuanzia leo anishtueNatumia NMB MasterCard naclick hiyo MasterCard hapo in one minute transaction inasoma na withdraw na kudeposit Mana ina support withdraw na deposit cjui kwako ina shida gani inabidi ujue hiyo card yako ni card ya aina gani
View attachment 1212158
Thanks complicatedMkuu sio kwamba ni leo ndio naanza huwa naweka muda tu sema leo nimekuta mabadiliko kwenye system yao hivyo nataka wanaotumia banc Abc visa cash card ndio inaitwa ivyo haijaandikwa visa electron wala visa debit or credit so atakaefanikisha kuweka kuanzia leo anishtue
Chagua visa payMkuu sio kwamba ni leo ndio naanza huwa naweka muda tu sema leo nimekuta mabadiliko kwenye system yao hivyo nataka wanaotumia banc Abc visa cash card ndio inaitwa ivyo haijaandikwa visa electron wala visa debit or credit so atakaefanikisha kuweka kuanzia leo anishtue