Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna ka equation kametengenezwa hapa yawezekana hii site ya 1xbet ikawa imefuatwa rasmi kwa Tanzania. jana tuu niidepost kwa ABC card kupitia app ya PC fasta, leo mchana nikatumia PC NYINGINE AMBAYO SIJA INTSLL APP YA 1XBET na nilitumia web kwa zile mirror link yakaja hayo makorokocho nikashindwa maana nilijaribu yote ikagoma. Sasa hivi nahangaika kupitia app mambo wameshabadilisha haiwezekaniki tena, hata zile link za web hazikubali tena....imbombo ngafu....amangana gasarikile........ yalemaga lulu!!! kwalema mmeku
 
Mbn huku kwangu inaonekana hiv
 
Wakuu, Dundalk Leo anapigwa..mpe Waterford mapema odds mlima...kopa popote! Msije kujilaumu..

NB:Bet what you can afford to lose!
 
Unfortunately at the moment we have technical issues with this payment system. The problem occurred on the side of the payment system, not on our side. Our specialists do their best to solve the problem as soon as possible.
 
Imeanza kama walivyotumaliza kwenye mobile tukawa na matarajio labda kesho kumbe ndio hivyo tena hadi leo
 
Ila mimi leo nimeweka pesa fresh ila tatizo lawez likawa kwa tz maana mimi 1xbet yangu nilisajir kwa lain ya kenya safaricom.. Pamoja na vpn, so kwangu mimi naendelea kupeta na 1xbet

Licha ya hivyo, mi nimeweka hela kupitia skrill via bank card haiba hizohizo na ikakubali japokua skrill accnt ina 0Usd
 
Ila mimi leo nimeweka pesa fresh ila tatizo lawez likawa kwa tz maana mimi 1xbet yangu nilisajir kwa lain ya kenya safaricom.. Pamoja na vpn, so kwangu mimi naendelea kupeta na 1xbet
Hapa mamlaka husika zimeshaa nusa hivyo tusitarajie tena hii kitu. Mabenk yameshapigwa bit wakaifungia fedha isikubali kwenda
 
Wawe wapole tu, labda kuna marekebisho ila kwa sisi wabongo wa kenya tunaendelea kula matunda ya 1xbet
Licha ya hivyo, mi nimeweka hela kupitia skrill via bank card haiba hizohizo na ikakubali japokua skrill accnt ina 0Usd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…