The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Tanzania ni wabishi sana..hiv umesoma nilichokuambia!Hapa mamlaka husika zimeshaa nusa hivyo tusitarajie tena hii kitu. Mabenk yameshapigwa bit wakaifungia fedha isikubali kwenda
Tanzania ni wabishi sana..hiv umesoma nilichokuambia!
Mabadliko ya hizo payment yapo ila nimejarbu kudeposit na cjaona tatizo lolote cjui wenzangu wana app gan tofauti na yanguImeanza kama walivyotumaliza kwenye mobile tukawa na matarajio labda kesho kumbe ndio hivyo tena hadi leo
Mimi sii andazi kiwango hicho cha kutoelewa!!!! kwani wakipigwa mkwara kuwa ni marufuku kuruhusu fedha kwenda kwenye gambling site hawawezi kuzuia? ni kwanini tulikuwa tunatumia bank ABC wakati bongo kuna banki kibao zenye huo mfumo wa master, visa nk? brodher tulishawahi kujaribu kila mbinu na tunapokuambia kuwa kuna tatizo jua lipo. Benki haziwezi kwenda kinyume na sera za nchi zinaogopa kuvurushwa. Kwa wale wanaotumia VPN na kuweka namba ya simu ambayo haianzi na +255 hawana shida kabisa ila ukiweka vitu vinavyoonyesha kuwa ni bongo!!!! you are ata peril
Nafkir shida ni kwa wenye namba za usajil wa Tanzania mm account yngu ckufungua ya kuregister namba nilifungua fast registration kwaio hakuna sehem inayohitajka nambaMimi sii andazi kiwango hicho cha kutoelewa!!!! kwani wakipigwa mkwara kuwa ni marufuku kuruhusu fedha kwenda kwenye gambling site hawawezi kuzuia? ni kwanini tulikuwa tunatumia bank ABC wakati bongo kuna banki kibao zenye huo mfumo wa master, visa nk? brodher tulishawahi kujaribu kila mbinu na tunapokuambia kuwa kuna tatizo jua lipo. Benki haziwezi kwenda kinyume na sera za nchi zinaogopa kuvurushwa. Kwa wale wanaotumia VPN na kuweka namba ya simu ambayo haianzi na +255 hawana shida kabisa ila ukiweka vitu vinavyoonyesha kuwa ni bongo!!!! you are ata peril
umetumia kadi ya aina gani na ya benki gani? upo bongo?Mabadliko ya hizo payment yapo ila nimejarbu kudeposit na cjaona tatizo lolote cjui wenzangu wana app gan tofauti na yanguView attachment 1212395
Ndio maana kwani ukifika hatua fulani inakuletea majina yako na namba uliosajili . Sasa sisi wa +255 ndipo tatizo linapoanzia watakuwa wanatugundulia hapoLakini mkuu mimi nimejisajir kwa kutumia namba ya voda kenya lakin na deposit kwa kutumia prepaid card ya bancAbc.. Na iko fresh tu kuweka na kutoa lisaa 1 lililopita nimetoka kudiposit pesa
Nb. Itakua kuna shida kwa wale waliokua wanatumia link ya 1xbet ya Tanzania... Kwa wwngine hakuna tofauti yeyote watakay iona
Natumia NMB bank ATM card ya MasterCard na nipo hapa hapa bongo na hayo mabadlko kwngu yamekuja Leo ya hizo Option za deposit nime deposit now kuangalia huo utata ila cjaona tatizoumetumia kadi ya aina gani na ya benki gani? upo bongo?
Kaka we ni m-bishi sana!Mimi sii andazi kiwango hicho cha kutoelewa!!!! kwani wakipigwa mkwara kuwa ni marufuku kuruhusu fedha kwenda kwenye gambling site hawawezi kuzuia? ni kwanini tulikuwa tunatumia bank ABC wakati bongo kuna banki kibao zenye huo mfumo wa master, visa nk? brodher tulishawahi kujaribu kila mbinu na tunapokuambia kuwa kuna tatizo jua lipo. Benki haziwezi kwenda kinyume na sera za nchi zinaogopa kuvurushwa. Kwa wale wanaotumia VPN na kuweka namba ya simu ambayo haianzi na +255 hawana shida kabisa ila ukiweka vitu vinavyoonyesha kuwa ni bongo!!!! you are ata peril
Labda mfumo upo kwenye matengenezo badoNatumia NMB bank ATM card ya MasterCard na nipo hapa hapa bongo na hayo mabadlko kwngu yamekuja Leo ya hizo Option za deposit nime deposit now kuangalia huo utata ila cjaona tatizo
Mm nikibonyeza tu kudeposit kwa visa/MasterCard inakuja hivo nabonyeza najaza details za card tu hakuna namba ya cm baada ya hapo natumiwa code naingiza then pesa inaingia hapo hapoNdio maana kwani ukifika hatua fulani inakuletea majina yako na namba uliosajili . Sasa sisi wa +255 ndipo tatizo linapoanzia watakuwa wanatugundulia hapo
Mkuu we ndo Kigogo 2014 ?Lazio amekuwa mdebwedo siku hizi
Mkuu naona kuna utafiti fulani unataka kufanya. Endelea na utafiti wako vizuri.Wrong! aliingiziwa Tshs 2,500,000/= M-pesa na sio 20,000,000/= hizi smartphone zina tabia ya kubadilisha maana ya neno usipofanya proof reading unakuta umeandika kitu tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah professor kitambo saaana
Betting sio nyepesi hivyo.jaman nina buku mbili hapa haina ramani, mwenye mkeka wa odd za 10+ anipe nifate
Asante uwe unatuma kama hizi mara kwa mara.Haya wapambanaji wenzangu tujaribu ilo zigo