Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu options zote ukisoma maelezo yake zinaeleweka ila hii "draw no bet" nimeshindwa kuielewa licha kuisoma mara kwa mara...ufafanuz wataalam najua hamshindwi kitu.
 
Hii hapa ndo unaambiwa kwenye betting hakunaga option nyepesi dadeeki yaani kocha amekaza kafanya sub mbili tu daaah!!!
Screenshot_2019-09-24-21-55-08.jpeg
 
Hapo unabetia ushindi tu kwa timu uliyoichagua,endapo itatoka sare,utarudishiwa stake yako,ila kama itafungwa utakuwa umepoteza.Nadhani nimeeeleweka mdau.
Wakuu options zote ukisoma maelezo yake zinaeleweka ila hii "draw no bet" nimeshindwa kuielewa licha kuisoma mara kwa mara...ufafanuz wataalam najua hamshindwi kitu.
 
wakuu msaada wa namba huduma kwa wateja parimatch, nimetoa pesa imekuwa pending tangu mchana
 
Duh we jamaaa kma syo teacher basi jitabidi uwe teacher.Upo njema kwenye kuelekeza
Da pole mkuu kwenye kamari wewe unaonekana mgeni kabisa pia hesabu shulen zilikupita kushoto yaan unachukua
1.20 x 7 =8.4

Chukua hivi 1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2 = 3.58 hili ndio jibu sahihi

Hapo juu ni majibu mamwili tofaut
 
Back
Top Bottom