wewe ni staff wa skrill?Tunaendelea kuverfy SKRILL ACCOUNT itakayo kuwezesha kufanya malipo mtandaoni kama forex, 1xbet, 22bet nk
Tutafute Telegram au WhatsApp 0658952701
NB.
Tuna deal kwa wale walishindwa kuverfy address location...skrill, templer nk
Wakuu options zote ukisoma maelezo yake zinaeleweka ila hii "draw no bet" nimeshindwa kuielewa licha kuisoma mara kwa mara...ufafanuz wataalam najua hamshindwi kitu.
Nimeona kuna kitu kinaitwa handcap nimefata hiyo kwa barcelona odds 1.76 nimeweka sh. 60,000 naamini barca atapeleka goli nyingi kwasababu wana hasira na wana quality up front so expect a disaster kwa villareal leo...
wewe ni staff wa skrill?
Juventus win
Spurs win
Man city win
Arsenal win
Odd 3.26
Wekaa nyumba
Nimempa milioni tano juve waku
Da pole mkuu kwenye kamari wewe unaonekana mgeni kabisa pia hesabu shulen zilikupita kushoto yaan unachukua
1.20 x 7 =8.4
Chukua hivi 1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2 = 3.58 hili ndio jibu sahihi
Hapo juu ni majibu mamwili tofaut
thubutuuuu....muulize man city alipokutana na Norwich au united na westham au barca na Granada ndo utajua
Ok, shukrani.Wewe kama una tatizo hilo nione nikusaidie, maswal mengine si kazi yako
Tottenham aisee