Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ule utaratibu wa meridianbet kuweka amount fulani ndogo kwenye bonus account pale unaposhinda tiketi sasa haupo?Nashangaa nawekewa ile tu niliyoshinda kwenye main account..bonus account inabaki zero...anayejua maelezo tafadhali
 
Jamani naomba kuuliza prepaid kadi ya crdb inaweza kufanya transaction katika 1xbet??
 
halo wadau,leo nataka nijaribu under 3.5,4.5,5.5
niweke litren nijaribu bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…