Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji3][emoji3][emoji3]
Ningekua staff hata nisingekutafuta chief mana ningekua nakula tuu faida zenu ila m ni mbetiji tuu na kubet na mihangaiko yake ndo kumenifanya nikufate huko pm. Kanji anapiga hadi unaona adui yako ni makampuni ya kibongo.
Nilikua najaribu kudeposit 1xbet kutumia skrill sasa nikatop up dola 5 kwenda skrill kutumia mpesa MasterCard najaribu kuipeleka kwa mrusi inagoma sasa nlikufata pm ili nikuombe nijaribu kukutumia kwa skrill yako then wew unirudishie mana nimeambiwa hela inayotoka mpesa MasterCard haiwez kutumika kwa gambling.
That's all bro
Ok nimekuelewa, kujihami muhimu.
Binafsi natumia bank cards ku-deposit na ku-withdraw. Sijawahi kutumia skrill.
 
: *👑DINO👑*

THURSDAY 26/09/19 15:45

Iran 🇮🇷 Pro League (1)
PERSEPOLIS FC
SEPAHAN ESFAHAN
ht X


: Milan- X10mins
Celta vigo - X10mins
1.30odd
 
Za Leo na kesho nimeziunga pamoja!!
Screenshot_2019-09-26-14-39-32.jpeg
 
Kwani bank cards bado zinakubali ku withdraw?
Kwani zilizuiliwa?
Binafsi natumia bank 2 tofauti kwenye akaunti tofauti na zote zinakubali.
Moja bank ya nje inachukua siku 14 mpaka nipokee pesa, nyingine ni prepaid card ndani ya lisaa tu muamala unasoma
 
Kwani zilizuiliwa?
Binafsi natumia bank 2 tofauti kwenye akaunti tofauti na zote zinakubali.
Moja bank ya nje inachukua siku 14 mpaka nipokee pesa, nyingine ni prepaid card ndani ya lisaa tu muamala unasoma
Yaap prepaid card ya Exim inagoma sahivi.

Bank gani ya nje?
 
Laki nzima unakatwa kodi wakati kuna. Makampuni haukatwi kodi .. Na unaona sawa tu ... Hao M-BET /sportpesa waliwarogajeeee.....
Wametuloga dakika 0 baada ya mechi tu kuisha,mpunga unaingia,dakika 0 hiyo hiyo,umeshahamisha m_ pesa,dakika 0 hiyo hiyo umeshatoa hela iko mfukoni ,mi hapo tu ndio waliponiloga,kulipa kodi ni uzalendo pia.
 
Back
Top Bottom