Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 996
Umeona mambo ya direct win mzee? Napoli huko kapigwa swaaafi!
| Yakwamba | akuna mchawi!!! |
Ligi ya bongo imo 1xbetHivi 1XBet ana ligi kuu Tanzania bara?? Site gani za nje ya nchi na ndani ya nchi wana Ligi kuu Tanzania Bara???
Mwana weka hlo weka hapa tupite nalo
Weka hata photo tu ili unitie moyoTayari nimelipwa
Timu 15 hizo....!!!!Weka hata photo tu ili unitie moyo
Utangoja sana mkuu. [emoji23] [emoji23]Weka hata photo tu ili unitie moyo
Direct win uchawi tosha.
Yakwamba akuna mchawi!!!
Ntangoja nnUtangoja sana mkuu. [emoji23] [emoji23]
Shukran hapa nitajifunza kituTimu 15 hizo....!!!!View attachment 1216151
Sisi hatuongei tunafanya, vp sauti inatosha au niongeze...???Utangoja sana mkuu. [emoji23] [emoji23]
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Sisi hatuongei tunafanya, vp sauti inatosha au niongeze...???
Sisi hatuongei tunafanya, vp sauti inatosha au niongeze...???
Bado sijachambua, mungu akijalia nitaweka kiongozTupia treni la kesho chief
best of luck mzee!Sisi hatuongei tunafanya, vp sauti inatosha au niongeze...???
Kama uliweka timu za jamaa tu iliyozingua ni moja tu mkuu sasa unagawanyaje mara tatu hlf mmoja ndio utiki badala ya miwili we uliweka na matim yako mengne uwongo sioMkeka wako niliugawanya Mara Tatu...ndo mmoja ukatiki....Hapo ndo unapoamini kua hakuna Betting ya Uhakika Asilimia 100...Ni kubahatishana tuuuView attachment 1216199
Nilichogundua france sio kuzuri kucheza substitutionMimi niligawa ivyo na nikaongeza moja ile ziwe 6 kwa 6 maana jamaa aliweka 11 inamaana ningegawa mara tatu ingetiki miwiliView attachment 1216225View attachment 1216226