Deje
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 991
- 1,006
Russia inayokubali GG ni KHL na VHL ila kwa MHL wanazinguaga, ligi nyingne nzur kwa GG ni CzechShida inakuja muda mwingine wana-limit unakuta inaanzia over2.5 muda mwingine hadi over3.5 kulingana na mechi yenyewe,,GG nashauri ligi za russia na canada,ila france huwa inazingua...