Maujohnsimba
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 252
- 228
Double chance ya yeyote ashinde au vipiSaivi na deal na first half double chance 2odds timu nne inatoa sana.
Double chance ya yeyote ashinde au vipiSaivi na deal na first half double chance 2odds timu nne inatoa sana.
Embu ni juze mdau ipi iyoBala tupu mkuu...sema Kuna trend flani hivi ukiishtukia unakulaa sanaa
Win or drawDouble chance ya yeyote ashinde au vipi
Wadau naomba msaada kwa anae faham
Volleyball nahtaji kujikita katika huu mchezo maana football inazngua sasa naomba kuuliza hvi zile point huwa zinahesabikaje? Maana sometime Hua hivi 25:20 set ya kwanza hyo alafu set ya pili 19:25 na ya tatu 25:19 sasa swali langu ni je nawezaje kuhesabu jumla ya point katika set zote?
Msaada please
Ni ipi hiyo mkuuBala tupu mkuu...sema Kuna trend flani hivi ukiishtukia unakulaa sanaa
Shukran nduguYah!! Ni vyema umefanya maamuzi ya kuangalia upande wa pili wa shilingi....anyway volleyball inamfumo wa set kama tennis utofauti unakuja pale kwenye idadi ya point ya ushindi katika kila set. Katika volleyball ili ushinde set, moja lazima ufikishe point 25 na pili lazima umuache mwenzako kwa tofauti ya point 2 na kuendelea. So ikitokea mmoja wamepishana kwa point moja game itaendelea mpaka waachane kwa tofauti ya point 2. Kwenye issue ya over na under unajumlisha tu lakini kitu cha kunote nikuwa Mara nyingi akikutana kibonde na anayejua huwa option nzuri ni under......
Mechi za Handball kwa option hiyo ndani ya siku 1 ni ishu, hlf pia changamoto yake nyingine ni zile odd za 1.00001, sasa hapo kufikisha 1.5odd siyo mech za siku 1 tu, ni kama siku 3 au wiki hv hiv!Tafuta mechi za Handball 7... Weka double chance 12 ... Haukosi 1.5 odds .... Utanishukuru baadae ..... Kama hauamini ... Ingia scoreapp yeyote halafu uangalie hata mwezi mzima mechi ngapi zinatoa droo za handball .... Usiwe na tamaaa
Hyo ni nzur endapo ukiwa auna tamaaTafuta mechi za Handball 7... Weka double chance 12 ... Haukosi 1.5 odds .... Utanishukuru baadae ..... Kama hauamini ... Ingia scoreapp yeyote halafu uangalie hata mwezi mzima mechi ngapi zinatoa droo za handball .... Usiwe na tamaaa
Kweli mkuu au jitahid kushinda kiasi kidogo, maana unaweza shinda million 5 ukatangazwa kinoma wakat mtaan unadaiwa million 8Inabidi niwakimbie betpawa mambo ya publicity hapana aisee
Mkuu mara nyng hua zinachezea odd 1.02,1.03 hadi 1.05Mechi za Handball kwa option hiyo ndani ya siku 1 ni ishu, hlf pia changamoto yake nyingine ni zile odd za 1.00001, sasa hapo kufikisha 1.5odd siyo mech za siku 1 tu, ni kama siku 3 hiv!
Good! haya maelezo pia yanaendana na mchezo wa ICE HOCKEY kwa option ya GG kwa mechi 7,,,odd 1.94 au zaidi,,pitia score-app aisee...Tafuta mechi za Handball 7... Weka double chance 12 ... Haukosi 1.5 odds .... Utanishukuru baadae ..... Kama hauamini ... Ingia scoreapp yeyote halafu uangalie hata mwezi mzima mechi ngapi zinatoa droo za handball .... Usiwe na tamaaa
Wanakutangaza ukishinda kuanzia bei gani??Inabidi niwakimbie betpawa mambo ya publicity hapana aisee
Sometime Ice Hocky gg hua inazngua labda inayo toa sana ni over 1.5Good! haya maelezo pia yanaendana na mchezo wa ICE HOCKEY kwa option ya GG kwa mechi 7,,,odd 1.94 au zaidi,,pitia score-app aisee...
Shida inakuja muda mwingine wana-limit unakuta inaanzia over2.5 muda mwingine hadi over3.5 kulingana na mechi yenyewe,,GG nashauri ligi za russia na canada,ila france huwa inazingua...Sometime Ice Hocky gg hua inazngua labda inayo toa sana ni over 1.5
Hapo nimekuelewShida inakuja muda mwingine wana-limit unakuta inaanzia over2.5 muda mwingine hadi over3.5 kulingana na mechi yenyewe,,GG nashauri ligi za russia na canada,ila france huwa inazingua...
Hapana mdau... Double chance za handball ya chini ni 1.03 sio hiyo uliyosema ... Naomba niletee hapa double chance ya handbal yenye hizo odds ulizosema ... Ntakupa mtaji wa 50k ... Ndio inanipa hela ..Mechi za Handball kwa option hiyo ndani ya siku 1 ni ishu, hlf pia changamoto yake nyingine ni zile odd za 1.00001, sasa hapo kufikisha 1.5odd siyo mech za siku 1 tu, ni kama siku 3 au wiki hv hiv!
Kuunganisha hiz odds kufika 1.5 ni timu nying sana..Hapana mdau... Double chance za handball ya chini ni 1.03 sio hiyo uliyosema ... Naomba niletee hapa double chance ya handbal yenye hizo odds ulizosema ... Ntakupa mtaji wa 50k ... Ndio inanipa hela ..
Hawawekagi over 1.5 mara nying wanaanzia over 4.5, ila GG inakubali mara nying kama unawasiwasi cheza double chance yaan ashinde yoyoteSometime Ice Hocky gg hua inazngua labda inayo toa sana ni over 1.5