Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

zainabu ashaanza kuzingua duuuh!!!
Screenshot_20190925-155739.jpeg
 
Wadau naomba msaada kwa anae faham
Volleyball nahtaji kujikita katika huu mchezo maana football inazngua sasa naomba kuuliza hvi zile point huwa zinahesabikaje? Maana sometime Hua hivi 25:20 set ya kwanza hyo alafu set ya pili 19:25 na ya tatu 25:19 sasa swali langu ni je nawezaje kuhesabu jumla ya point katika set zote?
Msaada please
 
Mambo mengine unagoogle
 
Hlf uulize tena..!!

Huo mchezo unachezwa kwa set na ziko 3 per 20 mins au 15mins kwa wengn na saa ingn zinaeza fika hadi set 5 kutegemeana na mchezo/matokeo yalivy...hua hawaonyeshi muda wa mchezo ukiwa unacheza..
Mf...
25+20=45 lbd kwa set ya 1, itakua won kama ulichagua jumla ya hayo matokeo yan over 44.5, otherwise ni red! Hivyo hivy kwa set zingn!
Kama hutaki kucheza kwa set, unaeza cheza kwa total ya full-time iweje!
Kwa jumla ya set yan kuhesabu, maelezo yake ni marefu, unguza M-B usome!

Nb: usiulize tena.
 
Sisi wa bongo ni wavivu sana take your time tulia soma kwa makini,kwanza advantage yake utakuwa una bet kitu unacho kijua kwa undani,kuliko kuelezewa juu kwa juu
Watu wavivu sana..labda saa ingne lugha!

Tangu jana nipo najifunza kwa kusoma mwenyew American footbal! Nataka nikishaelewa vizuri nianze kubet hiyo American Footbal, ntai-master soon!
 
Hlf uulize tena..!!
Huo mchezo unachezwa kwa set na ziko 3 per 20 mins au 15mins kwa wengn na saa ingn zinaeza fika hadi set 5 kutegemeana na mchezo/matokeo yalivy...hua hawaonyeshi muda wa mchezo ukiwa unacheza..
Mf...
25+20=45 lbd kwa set ya 1, itakua won kama ulichagua jumla ya hayo matokeo yan over 44.5, otherwise ni red! Hivyo hivy kwa set zingn!
Kama hutaki kucheza kwa set, unaeza cheza kwa total ya full-time iweje!
Kwa jumla ya set yan kuhesabu, maelezo yake ni marefu, unguza M-B usome!
Nb: usiulize tena.
Mmmmmmh hapo siuliz tena!
 
Back
Top Bottom