Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
WowLazio ndo kanipa mimi ushindi
WowLazio ndo kanipa mimi ushindi
Mzee baba naomba kama una file la apk la 1xbet ya kenya uniforwadie..Ndiyo....hua wanaleta msg kama hiyo pia kwangu..nina-confirm then inafunguka
Zamani wachezaji ndio walikuwa wqnashikilia hela, siku hizi hadi makocha wanashikilia. Hizi ndio kazi za kusomea sasa. Unafanya sub over 0.5 kipindi cha kwanza stake nyumba make na watoto.
Kanitoroka kidogo asee,,ila bado namsaka vilivyo,,pia kama huwa huchezi ice hockey GG/btts na DC(12) nakukaribisha saanaa... kuna pesaa...Mm hii kitu nimeiga kwako ila mkeka wng hua hauzidi timu mbili ,kinachofuata ni stake nzuri tu
Mnaotumia playmaster vp kwenye kutoa pesa hawazingui
WAPO VIZURI SANA.Mnaotumia playmaster vp kwenye kutoa pesa hawazingui
App ni moja tu, huwa haibagui nchiMzee baba naomba kama una file la apk la 1xbet ya kenya uniforwadie..
Kwani ni lazima uweke Man U ashinde, au ulichokiongea kuhusu kubadili mbinu hujamaanishaWeek tamu sana hii kila siku nashinda tuu,,, kila nikilala nikiamka nakuta hela tayari,,,,sasa naachaje kubeti? Kama hushindi usikate tamaa Bali badili mbinu usipende kutumia mbinu moja pia na litimu kama MAN U sio lakuweka kwenye mkeka wako...
Ngoja waje mkuu naona utakuwa mshabiki mkuu wa litimu libovu dunianiKwani ni lazima uweke Man U ashinde, au ulichokiongea kuhusu kubadili mbinu hujamaanisha
Kua kimawazo
Usilete uhasama wako na Man United humu
Tupe Mbinu Na Sisi NduguTupo pamoja, napata na kukosa yote maisha, toka ijumaa nimepata laki 6 nilianza na nilitumia 5000 ya kuanzia now nina laki mbili wamerudisha 4 ila siachi kamari ishanipa hela nyingi sana kuacha ngumu kama 500 ishanipa 3m naachaje nimepata hela nying zaid ya nilizopotezaaa
Ndiyo....hua wanaleta msg kama hiyo pia kwangu..nina-confirm then inafunguka