Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Week tamu sana hii kila siku nashinda tuu,,, kila nikilala nikiamka nakuta hela tayari,,,,sasa naachaje kubeti? Kama hushindi usikate tamaa Bali badili mbinu usipende kutumia mbinu moja pia na litimu kama MAN U sio lakuweka kwenye mkeka wako...
 
[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
 
Kweli mkuu, hata mimi najiulizaga sana, makocha siwanaweza wakawa matajiri sana kwa hizi option zinazowahusu
Zamani wachezaji ndio walikuwa wqnashikilia hela, siku hizi hadi makocha wanashikilia. Hizi ndio kazi za kusomea sasa. Unafanya sub over 0.5 kipindi cha kwanza stake nyumba make na watoto.
 
Week tamu sana hii kila siku nashinda tuu,,, kila nikilala nikiamka nakuta hela tayari,,,,sasa naachaje kubeti? Kama hushindi usikate tamaa Bali badili mbinu usipende kutumia mbinu moja pia na litimu kama MAN U sio lakuweka kwenye mkeka wako...
Kwani ni lazima uweke Man U ashinde, au ulichokiongea kuhusu kubadili mbinu hujamaanisha
Kua kimawazo
Usilete uhasama wako na Man United humu
 
Tupe Mbinu Na Sisi Ndugu
Maana Vichapo Haviishi
 
Leo mapeeeeema kabisa kabla odds hazijashuka. Hatukomi.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…