Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[QUOTE="issac77, post: 33056433, member: 139022"
option hiyo inapatikana k wenye league kubwa. e.g epl, serie a, bundasiliga, efl championship, laliga na league kuu urusi,
[/QUOTE] sorry ni baadhi ya game au zote kwenye hizo league maana nimetafuta kinoma.
 
option hiyo inapatikana kwenye league kubwa. e.g epl, serie a, bundasiliga, efl championship, laliga na league kuu urusi,
sorry ni baadhi ya game au zote kwenye hizo league maana nimetafuta kinoma karibu game zote zijazo za epl but nothing.
 
Leo napita ivo na ice hockey nimekuwekea na fast bet code apo kwa wale wakubet mikeka tujalibu bahati apo ila iyo game yenye odd 1.40s ndio yenye 70% of wining zingine zote 85% jumla odds 4. Something above
 
Nipeni hongera mwenzenu nimeshinda mechi 11 kwenye JACKPOT hivi nishakula mihela mil 3,947,626 hapa,,tusikate tamaa wale wenzangu wa kubet
Hongera mkuu. Mimi wiki hii nilicheza Jackpot ya Sportpesa na Betpawa na zote nimepatia mechi 9. Ilibaki kidogo tu nami ningepata kifuta jasho.
 
Au app zinatofautiana we ukiingia unaiona hiyo option??
Naomba nikusumbue kidogo ingia kwenye lig ya epl then nifanyie screenshot ya hiyo option kweny timu yyt maana nahangainga sana mzee.
hizo option huwa zinakuwa added siku moja kabla ya game kupigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…