3.6*17.5=320 mkuu ulipiga shule gani mkuu da kweli ungekua milionea maana hesabu zinakupiga chenga au mi ndio sijaelewa 3.6*17.5= 633.6 *17.5 = 320 ukiweka 10 leo ningekuwa milionea
Timu kubwa hizo..ila pamoja na kamari kutupa pesa lakini inaharibu sana mpira!Huko viunga vya manchester ni vilio... atletico kilio, napoli naye ndo hvo. Kuna weekend hua kashetani ka Mhindi kanakuaga kapo active sana..
Eeee yaani peke yake ama bado unabishaKwahyo wamaanisha UNITED ndio anaharibugu bet pekee yake?
Hapo tukubali tukatae, kamari ina nafasi kubwa kwenye kupanga matokeo ya mechi nyingi za timu kubwa.Timu kubwa hizo..ila pamoja na kamari kutupa pesa lakini inaharibu sana mpira!
Hahahahha...unabetia Sub First half...hahha...alafu unatoa chezaji dakika za kipindi cha kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389]Zamani wachezaji ndio walikuwa wqnashikilia hela, siku hizi hadi makocha wanashikilia. Hizi ndio kazi za kusomea sasa. Unafanya sub over 0.5 kipindi cha kwanza stake nyumba make na watoto.
😅😅😅😅 Haya mambo si mepesi!Mambo ya kudaka mi tim nikalidaka hili _[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu nikamuacha madridView attachment 1224476
Hahahhaha...Maisha safi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizi option za mtu mmoja mmoja zikija bongo kila mchezaji, kocha na refari watakuwa wanapiga hela kila mtu kivyake.
Goalkeeper atadeal na official added time, keeper atajifanya ameumia ili ziongezwe dakika nyingi za nyongeza.
Refa ataamua kugawa kadi nyingi za njano first half, hapo kabet over 2.5 HT ina odds nzuri.
Kocha anafanya zake sub kipindi cha kwanza.
Mabeki kazi yao ni kutoa tu corner, hapo wamebet over 6.5 corner HT.
hahahahaHahahhaha...Maisha safi kabisa.
Ulaya wnaashindwaje kufanya hivi??????
Hata kutumia jamaa zao na marafiki, ndugu.
Mkuu hiyo siyo betting bali ni KARATA TATU. Probability ya matukio haya kutokea = 0%. Kama kweli ni mtu wa betting utakuwa umenielewa. Badala ya kucheza hivi, si uwape ushindi Man U halafu utie milioni?
option hiyo inapatikana kwenye league kubwa. e.g epl, serie a, bundasiliga, efl championship, laliga na league kuu urusi,Wadau hivi substute player to scor 1xbet inapatikana wap au ni special team tu??