Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
hiyo option ya sub au red card ikija ligi kuu Tanzania, nakwambia watu wa kwanza kupiga pesa ni wanasiasa huku sisi wenye kazi yetu tukiwa tumeng'ang'ana kwenye direct win.Wenzetu wako makini sana na haya mambo mkuu
Sio rahisi kiasi hicho ingawa inawezekana
Unaweza kudhani hata mchezaji anaweza kujifanya kaumia dakika ya 10 na akaomba kutoka hajisikii vizuri kumbe kavuta mpunga
Tatizo litakuja anapata kiasi gani ku risk carrier yake?
Mchezaji wa bongo anashindwaje kucheza rafu ili apate red card sawa na alivyobet kwa sababu ya pesa!