Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chapa ilale, daah kitambo humu, leo natest mitambo tena
Screenshot_20191005-034524_Print%20Spooler.jpeg
 
Nataka niweke 15k hapa wazee ushauri wenu maana kanji kipindi hiki kazoea kupokea tu hataki kutoa
Screenshot_20191005-112156-1.jpeg
 
Wanangu ela iyo apo nilikuwa na mashaka ma schalke 04 ila nimejiridhisha anashinda
Screenshot_20191005-121148.jpeg
 
Nipeni Ushauri wakuu

Yanga vs Costal union
Azam vs Namungo

Vipi azam na yanga wanaweza wakashinda
 
Ila kuna watu wame kaa kukosoa vya wenzao tu mda wote

Hii platform ipo kusaidiana mtu akiweka mkeka wake penye kurekebisha basi turekebishane kwa usahih kuja tu na kuanza kusema unachezea pesa mara unacheza utoto si njia sahihi ya kurekebishana maana sote tuna hitaji kushinda

Ajabu wanao kujaga kukosoa huwezi kuta tips/mkeka wanao post ili tuweze kwenda wote sambamba
 
Huyo jamaa sijui katokea wapi asee
 
Back
Top Bottom