Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa pia
Screenshot_2019-10-04-22-56-42.jpeg
 
ukija kuangalia mechi za bundesliga(ligi ya ujerumani) ndio wanaongoza kwa magoli mengi kila mechi. so hapo jiwekee zako over 1.5 kwenye kila mechi ila chagua kwa makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tottenham ni fala akikutana na man city au liverpool anakaza ili aharibu akikutana na hvi vitoto vya under 19 vinatupia tu m@maeeee
 
Back
Top Bottom