Hongera sana.Nipeni hongera mwenzenu nimeshinda mechi 11 kwenye JACKPOT hivi nishakula mihela mil 3,947,626 hapa,,tusikate tamaa wale wenzangu wa kubet
Nipeni hongera mwenzenu nimeshinda mechi 11 kwenye JACKPOT hivi nishakula mihela mil 3,947,626 hapa,,tusikate tamaa wale wenzangu wa kubet
Betting ugumu wake kwenye kuzuia tamaa. Hapo ndipo tunachemsha sana. Unaweza ukakuza mtaji halafu umakini unakosekana unarudisha yote.Betting bwana nikuwa makini sana, nimekula weeee baadae ikaanza kurudi hadi zero. Anae hitaji lain ya safaricom anicheki, inatumika vizuri kwa 22bet ,ndugu mmoja na 1xbet kama picha inavyoonekana nikibutua mdogo mdogo harafu nikabutuliwa kisa tamaaView attachment 1225920
Shukrani sana mdau usinichoke lakini kwenye kufanya deposit ya pesa wanatak cvv ndo naipataje?hizo option huwa zinakuwa added siku moja kabla ya game kupigwa.
Hongera sana mzeebaba wenzio tumesahau tumekula lini cha msingi tuinuane mitaji tu tushinde vita hiiNipeni hongera mwenzenu nimeshinda mechi 11 kwenye JACKPOT hivi nishakula mihela mil 3,947,626 hapa,,tusikate tamaa wale wenzangu wa kubet
Hongera mkuuNipeni hongera mwenzenu nimeshinda mechi 11 kwenye JACKPOT hivi nishakula mihela mil 3,947,626 hapa,,tusikate tamaa wale wenzangu wa kubet
Ndo kilocho nitokea, na kuna siku pia nilifanya ivo ivo then nikaangukia pua tena, nahic tamaa, mana kama unaanza na elfu kumi theni inafika 60k ,kwa nn usitoe 50k ,ndo uendelee??, inpaly inavishawishi basi tuBetting ugumu wake kwenye kuzuia tamaa. Hapo ndipo tunachemsha sana. Unaweza ukakuza mtaji halafu umakini unakosekana unarudisha yote.
Geuza card yako..soma tarakimu 3 za mwishoSh
Shukrani sana mdau usinichoke lakini kwenye kufanya deposit ya pesa wanatak cvv ndo naipataje?
Thannks mkuu manaa nimefanya hivyo but naona wanareject transactoin sijui shida nn.Geuza card yako..soma tarakimu 3 za mwisho
View attachment 1225963
Betting bwana nikuwa makini sana, nimekula weeee baadae ikaanza kurudi hadi zero. Anae hitaji lain ya safaricom anicheki, inatumika vizuri kwa 22bet ,ndugu mmoja na 1xbet kama picha inavyoonekana nikibutua mdogo mdogo harafu nikabutuliwa kisa tamaaView attachment 1225920
Angalia email uliyoijaza utapata majibu kwann wanarejectNaona wananifanyia mauza uza
Na mm nataka kujua mkuu,Nombeni kujuzwa kwa wanao nunua mikeka wapi naweza nunua mikeka possible