M LIPA. !!!!!!!!
Hata wasipotambuliwa na duniani siwezi kubabaika.Gaming board wanawatambua 1xbet?
Mbona sportpesa wanatutapel kila cku ila akuna mahala pa kuwashtak1xbet imesajiliwa TZ kama haijasajiliwa wakikutapeli utafanya nini?
Achana na hao mkuu. Mimi hata wawe wezi wa kupora kwa bunduki nimeamua.Mbona sportpesa wanatutapel kila cku ila akuna mahala pa kuwashtak
Hakuna kitu kinauma ka timu zinacheza umezipa under 3.5, af hadi dk ya 80 ngoma lbd iko 1-0, huku ka moyo kanaanza kufurahia, unatoka livescore unajua mkeka ushatiki, ile unakua kucheki unakutana na LOST, unahisi bookmaker matapeli, kwa hasira unaingia livescore, unakuta magoli yalifungwa dk ya 85, 87 90. Af stake mlima,Hapo ndo utajua dunia haina huruma.Unaeza ukapata mafua ghafla ile DAIMA MBELE NYUMA MWIKO we ukaisema DAIBA BELE NYUBA BWIKO. mmh, ukitaka kubet, agana na presha kwnz Mamaeeeeeee..!!
Siku zote ili uwe bora nilazima ushindane na bora zaidi yako sasa hizi kampuni za bongo zinataka kua bora bila kumzidi alie juu yao? Manina zaoAchana na hao mkuu. Mimi hata wawe wezi wa kupora kwa bunduki nimeamua.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuna genge la kutetea ujinga wao liko humu.Siku zote ili uwe bora nilazima ushindane na bora zaidi yako sasa hizi kampuni za bongo zinataka kua bora bila kumzidi alie juu yao? Manina zao
Tutatumia 1xbet tu kwa sababu wamesharudisha njia za kudeposit komaeni na vikampuni vyenuGaming board wanawatambua 1xbet?
Brother ligi siwezi!Kampuni wana sponsor ligi kuu ya italy wewe umawaita scammer kwa ajili ya review ambayo mtu yyt anaandika mtandaoni hata mwenye chuki binafsi. Ulaya wanakubali ujue haina shida
Mimi mwenyewe namshangaa! pesa zetu alafu anatupangia cha kuzifanyia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kuna genge la kutetea ujinga wao liko humu.
Tutatumia 1xbet tu kwa sababu wamesharudisha njia za kudeposit komaeni na vikampuni vyenu
Hiv kinachobishiwa hapa ni nini hasa? Huyu Hector ametoa mawazo yake na amependekeza 22bet badala ya 1xbet na sababu katoa! Hapo swala chagua kilicho sahihi kwako na wala siyo mipasho isiyo na msingi wowote!Mimi mwenyewe namshangaa! pesa zetu alafu anatupangia cha kuzifanyia
Ninge sema kitu juu yake ila acha nilinde heshima yangu kwa jamii inayo nizunguka
Umeona nani ametoa mipasho?Hiv kinachobishiwa hapa ni nini hasa? Huyu Hector ametoa mawazo yake na amependekeza 22bet badala ya 1xbet na sababu katoa! Hapo swala chagua kilicho sahihi kwako na wala siyo mipasho isiyo na msingi wowote!
What the hell of thought is this?
Kampuni wana sponsor ligi kuu ya italy wewe umawaita scammer kwa ajili ya review ambayo mtu yyt anaandika mtandaoni hata mwenye chuki binafsi. Ulaya wanakubali ujue haina shida
Mpesa na Airtel money piaNasikia 1XBET imerudishwa sema payment kwa TIGO PESA sijaona ipo kwelView attachment 1227985View attachment 1227987
Mbona kwa tigo pesa sioni mkuuMpesa na Airtel money pia