Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Betia, halafu uTest mitambo kutoa pia.Natest mitambo [emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 1228046
Betia, halafu uTest mitambo kutoa pia.Natest mitambo [emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 1228046
Mi ni card natumiaga kutoa na kuweka ila kwenye kutoa nazungukiaga skrill 7bu ya limit! Sijajaribu kwa za saiv!Nimeweka...Nikaibetia yote..nikala...
Najaribu kutoa, nasubiria ""SMC CODE" Haifiki.
Note; Natumia Tigopesa.
Vipi wewe au mtu yeyote amefanikiwa kutoa hela??????
Wadau naombeni apk file la 1xbet.
Yan saiv humu ni usumbufu tu wa 1xbet... lalen bhana!
Hauna APPhttps://x1qneuia.world/en/ link ya 1xbet lazma tufanye fujo na pesa ya bwana putin
Kuna watu ni wabishi wa kuzaliwa...22bet ina features kama 1xbet ila ni bora kwa sasa ukicompare na 1xbet...wanobet 500 tsh hawawezi nielewa...mi leo tu kwenye page yangu hist from 9/10/2019 to 9/10/2019 nimebet almost 300,000 Tsh kwa 22 bet....
View attachment 1227938
Machungu ya weekend yamepotea. Daah, betting ni business ngumu sana
Iko poa sana.mmkampuni gan hii?Machungu ya weekend yamepotea. Daah, betting ni business ngumu sana
Kwa kutumia line ipi?????wazoefu wa localbitcoin nataka kudeposite 22bet kiwango cha chini kudeposite ni Tsh Ngapi?
Hapana..ni visa, skrill au cryptocurriences(bitcoins,etc)22bet ina Mobile option for Depositing/Withdrawing...???
Haina shida nmewithdraw imekubaliBetia, halafu uTest mitambo kutoa pia.
Naona bado mgeni kwenye hii biashara yetu yaani hujui iyo kampuni teh tehHii kampuni gan mkuu?
0920.Namba ya kampuni ni 400700....Naomba kujuha Referrence #
Duuh!...nimeCharti nao....Haina shida nmewithdraw imekubali
Mkuu, nahisi kuna mambo ya kuwapa namba za kitambulisho.Vipi tupe mrejesho imekuja baada ya muda gani au haijaja mpaka uwa WhatsApp M-lipa? [emoji13][emoji13]
Haya yatakuwa mambo ya M-bet unatoa pesa saa tatu asubuhi inakuja saa nane mchana manina