Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka Kudeposit 1Xbet

Naweka KAMPUNI number 400700
Pia Reference 0920

Buy inagoma....WAP nakosea?????
 
Je mikeka itaendelea kichanika kwa kasi ile ile? Au rangi za kijani zitapendezesh jukwaa letu pendwa!?

Tushirikiane option nzuri kwa mrusi tuvune chochote
 
Kama huna link ya 1xbet hiyo hapo chini
Hii
Kwa sasa usijisajir kwa fast registration
Ni vizuri ukatumia Email kujisajir maana ukitumia kwa number ya sim confirmation code zinasumbua kidogo lakin ukitumia Email confirmation codes utaipata kwa njia ya email hadi pale utakapo confirm mobile number yako, ila haihusiani na kukosa KUDEPOSIT wala kuwithdraw

 
Back
Top Bottom