Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
teh teh teh naona mmeanza kujitokeza kwa rangi ile ile
IpoMbona kwa tigo pesa sioni mkuu
USIWACHEKE SANA HAOO NDIOWALICHOMA ZIKAONDOLEWA HUJUI WANAKUJA NA STYLES GANNTHIS TIMEEnock ni muya
Hawa sijui PMbet watakaa bench hawa BetPawa nawatema kikosini sijui M-Bet nimechoka kubet correct score Meridianbet nawapatia red card moja kwa moja nanyooka na 1xbet
Bado nawasikilizia mkuuUlifata?
Ahahah Nacheka tu ahahah yaani nacheka tuWakuu mkacheki 1xbet naona huduma zao, mobile payment zimerudView attachment 1227773
WoyoiiiiioiiooooooooOYOO OOOOOOOOOOOOOOO MZUKA MZUKA MZUKA ILE MBAYAAAAAAAAA PIGA KELELEEE 1XBETTTT
22bet ina Mobile option for Depositing/Withdrawing...???Kuna watu ni wabishi wa kuzaliwa...22bet ina features kama 1xbet ila ni bora kwa sasa ukicompare na 1xbet...wanobet 500 tsh hawawezi nielewa...mi leo tu kwenye page yangu hist from 9/10/2019 to 9/10/2019 nimebet almost 300,000 Tsh kwa 22 bet....
View attachment 1227938
Huko huko yatajulikana mbele kwa mbeleNaona watu wanashangilia 1xbet kurud kwa mobile money za kibongo...ila kwa sisi wazoefu wa hizi mambo tunawaambia kuwa hakuna kampun ya betting ya nje ya kitapeli kama 1xbet..1xbet ni wazur ukiwa unaliwa ila siku ukianza kuwala ndo utajua 1xbet ni watu gani..utafanyiwa mizengwe yote mwisho wa siku utashtukia balance inasoma 0..nawashauri wanaobet kwa 1xbet wafanye kwa caution kubwa....wazoefu watanielewa. Kwa sasa the best site ya nje kwa hapa bongo ni 22bet
Kutoa sasa ni noma....mi nasubiri SMS CODE Nusu saa sasa![emoji134]Chap tu imekubali.
Wewe kama wewe walishawahi kukudhurumu???Man mi ni 'GURU' nabet mwaka wa 10 sasa...nabet mpaka 1 milion per one stake....si basket si football..si volleyball....elewa ninachokwambia...hunifaham sikufaham ila ukiamua kutokufanyia kazi ushaur wangu ni poa pia. Ila kwa wale wanaobet 100k, 200k , 500k wameshanielewa naongelea nini kuhusu utapeli wa 1xbet
Halafu na wewe rudisha ID yako ya mwanzo kama 1xbet walivyorudisha mobile payment1xbet imerudi watu nao wameanza kutoa ushauri kwenye pesa za watu ambazo wenyewe wameona wazitumie kwenye matumizi hayo.
Kama kampuni za kitanzania mnataka kuwa bora kwanini ubabaishaji uwe sehemu ya biashara yenu? Nani asiyependa sehemu nzuri, nani hapendi kubet masoko zaidi ya 800 nani anataka kuona upuuzi wa Mbet na Betpawa?
UKIONA MTU ANAENDA 1XBET UJUE ANAENDA KWA PESA YAKE WALA SIYO PESA YA FAMILIA YAKO AU BABA YAKO.
Nawe unabaki kampuni uliyoichagua kwa pesa zako mwenyewe.
Umeeka hela na kujaribu kuitoa au?Kutoa sasa ni noma....mi nasubiri SMS CODE Nusu saa sasa![emoji134]
Nimeweka...Nikaibetia yote..nikala...Umeeka hela na kujaribu kuitoa au?