Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tott naye kwa waliomfuata anachomesha kibanda japo kapata goal moja tayari
 
Ila 1xbet ina dhamini Barca. Ni kampuni halali ila kwa Tz wanaletewa zongo na kina Tarimba
 
  1. Real Madrid- ov1.5​
  2. Man City-win​
  3. Juventus-win​
  4. Ajax-win​
  5. PSV-ov 1.5​
  6. L:yon-ov 1.5​
  7. Basel-win​
  8. Young boys-win ​
  9. Gent-win​
  10. Slavia praha-win​
  11. Olympiakos-win​
  12. PSG (W)-win​
  13. Levski sofia-1x​
  14. Atalanta-united-ov 1.5​
  15. The Strongest-win​
  16. Dotmund-ov 1.5​
 
Hiyo namba sita kuna mtu alitahadharisha mchana kuwa haiaminiki siku hizi
 
Msaada: Anaejua jinsi ya kuzitumia bonus za 1x BET mana nimejaribu nimeweza kuitumia moja ila ile aina ya pili ya bonus inagoma
 
Msaada: Anaejua jinsi ya kuzitumia bonus za 1x BET mana nimejaribu nimeweza kuitumia moja ila ile aina ya pili ya bonus inagoma
Kama lugha ya malkia inapanda nenda kasome terms and conditions za kuitumia bonus.
Bonus sio hela ya bure kama wengi wanavyodhani, kuichange hiende kwenye real cash unaitajika uvuje jasho vile vile.
Mimi uwaga na reject bonus, kwasababu naona hazina faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…