OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Wazee wa kubeti leo muueni Liverpool mkeka utatiki..
Betting imekuwa ngumu sana siku hizi sababu ya jiwe mi ngoja nisubirie miaka 6 ipite taanza tena ku place betting.
Acha kumtisha mbona mimi nimeweka na kutoa.
Kiwango cha chini cha kuweka ni 1000/- kutoa pia 1000/-
Wakuu 1xbet wamenipa bonus nimeibetia Je nikishinda naweza kuiwithdraw?
Benja 0713 018901, David 0765 000110, Khalid 0687 487061,mwingine 0687 487061, pia 0687 312051 Premier wana customer care mbaya sana utatuma e-mail na ujumbe FB mpaka utalia.Wazeee Naomba namba za primer bet
kwani wameshafungulia namba za TzWakuu 1xbet wamenipa bonus nimeibetia Je nikishinda naweza kuiwithdraw?
lakin huwa wanajibu mzeeBenja 0713 018901, David 0765 000110, Khalid 0687 487061,mwingine 0687 487061, pia 0687 312051 Premier wana customer care mbaya sana utatuma e-mail na ujumbe FB mpaka utalia.
Wazeee Naomba namba za primer bet
Uchizi....Sasa Man U ana nn?angekuwaje nafasi hiyo Aliyokuwa kama Ana Back line Nzuri?kweli bangi Mbaya Sanabinafsi naona man u ana backline nzuri isiyo ruhusu magoli mengi. Liverpool pia ana backline nzuri isiyo ruhusu magoli ubashiri wangu under 3.5 goals, total yellow card over 2.5, substute player to score no.
Throwin inn over 44.5, shoot on target under 8.5
Usichanganye betting na matamanio binafsi.Wazee wa kubeti leo muueni Liverpool mkeka utatiki..
wachek whatsapp mbona washughulikia ila cjui ikiwa weeknd na hela inatoka fasta hapohapoAisee,
Hivi Mpaka leo bado hawatoagi hela weekend?
Maana nilishawahama kitambo tu
rangers kashaanza balaaPamoja na vipigo vyote vya jana bado hatukomi. Wadau naomba mnitazamie atakayechomoa betri kwenye mkeka huu ili nimchomoe mapema kabla hajanichomolea betri:
View attachment 1239111