Waliokubeza wako wapi ? Kabla match haijachezwa hakuna anayejua matokeo wote tunaotea tu, Feyenoord na Rangers wamedraw Deportivo kachapwa mawili na Malaga,Inter kafungwa na Sassuolo (marekebisho Sassuolo kafungwa na Inter).Wazee wa kubeti leo muueni Liverpool mkeka utatiki..
Waliokubeza wako wapi ? Kabla match haijachezwa hakuna anayejua matokeo wote tunaotea tu, Feyenoord na Rangers wamedraw Deportivo kachapwa mawili na Malaga,Inter kafungwa na Sassuolo.
That's okay asantemkuu inter Milan ameshinda hiyo game 3:4
mkuu kama una mtaji wa kutosha jaribu hii option ya sub yaani league za italia , Hispania, ufaransa na ujeruman zinatoa sana cha msingi angalia team kama haina majeruh wengi so usije ukafikiria ni nyepesi sana lakini kushinda ni uhakika 95% maana ukiwa na game 4 una odds 2+, game 7 una odds 3+ game nane una odds 4+ game 9 ona odds 5+ game 10 una odds 6+ game 13 una odds 10+Vipigo vimezidi... Ngoja hadi January
Mkuu share hata PM basi kwa wadausafari haikuwa nyepesi Ila we made it.....hakuna kukata tamaa Jana niliweka odds 6+ zilikuwa team 10 game iliyozingua ni ya Southampton walitoa jumla ya sub 5 tu na niliweka over 5.5. but uzuri wa playmaster ukiweka game kuanzia 10 na kuendelea kama ikizingua game moja wanakurudishia pesa yako kama free bet so free bet yangu imezaa matunda Leo Ahsante muumba wangu!
Angalizo option ya sub ni nzuri ukibet full time half time nimefuatilia mechi nyingi huu mwezi wachezaji wanaumia sana kipindi cha kwanza so ni risk zaidi kuliko ya kubet full time total sub.
nawatakia usiku mwema kesho kutwa kuna UEFA so mjiandaye na penyewe huko kuna pesa so mkachambue muweke mzigo sitoweza kushare mkeka wangu humu maana huwa mikeka yangu inachanika sana pindi napo share so mtanisamehe kwa hilo cha msingi nimewapa moyo wa kuangalia upande mwingine wa kumpiga kanji...
kwa wale ambao mlikuwepo humu mm ndo yule mwenye ID ya Thomas_360 but nilichezea block last week so nimekuja na ID hii nyingine [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1239487View attachment 1239488
mkuu kama una mtaji wa kutosha jaribu hii option ya sub yaani league za italia , Hispania, ufaransa na ujeruman zinatoa sana cha msingi angalia team kama haina majeruh wengi so usije ukafikiria ni nyepesi sana lakini kushinda ni uhakika 95% maana ukiwa na game 4 una odds 2+, game 7 una odds 3+ game nane una odds 4+ game 9 ona odds 5+ game 10 una odds 6+ game 13 una odds 10+
weekend huwa kuna game zaidi ya 16 za uhakika ukizigawa Mara 3 huwezi kukosa pesa trust me
Mkuu super black boy nafata ushauri wako jumla jumla, sidhani kama kuna mtu amechana mikeka mingi kama mimi hapa jf.
Nimechana mitatu 1xbet
Nimechana mitano playmaster dukani
Nimechana mmoja princesbet
Leo asubuhi ndio nikatoa gundu nikala kupitia basket, ile faida yote na mtaji nikamdhamini liverpool anipigie man u bila kuruhusu goal NIMEPIGWA TENAAA!
View attachment 1239543. Kusema UKWELI
Nimeshinda huu mkeka odds zote nimepata humu
Ifikie maali tuwe tuwe tuna discuss odds na betting tips
Mimi nabet all best company za betting naipenda pinnacle na williamhills ila betpawa kwa tz ni best
Ila humi tufikie mahali tuwe tunachat na reply kuhusu tips na jinsi ya kumla mzungu
Sio siku nzima mnaulizana how to deposit
Kuna njia nyingi za kudeposit unaweza ask youtube au goole.
Kama unataka kubet kampuni za njee kaa mtandaoni jifunze njia za kulipia mtandaoni like visa and MasterCard na e wallets Mambo mengine sio uulize hapa
Hapa tukae kujadili jinsi ya kumtomba kanji bai
Tuwe kama wanaijeria
Samahani kwa nitakao wakwanza
Kwanza nimelewa sana hapa