Wewe ndo una uchizi na akili huna kabisaaaa hata ya kuona huoni ukiachana na liver,sheffield,na leicter city man united ndo timu pekee iliyo ruhusu goli chache epl ndo maana na kwambia ana backline nzuri tatizo la ufungaji ndio linaifanya iwe pale alipo pumbavu wewe.Uchizi....Sasa Man U ana nn?angekuwaje nafasi hiyo Aliyokuwa kama Ana Back line Nzuri?kweli bangi Mbaya Sana
nilifuata lakini nikaongeza nayakwangu moja nimelost
PamojaJungle sikuwahi kusema huu uzi ni wakuweka mikeka wadau wafuate au wakushea jambo muhimu kuhusu kamari?
Badala yake uzi ukawa wa kueleza matatizo ya 1xbet mara hivi mara vile utafikiri basi 1xbet kuna guarantee ya ushindi mkanitusi sana unakumbuka au nifukue kaburi?
.
Tusiharibu uzi kwa maneno yasiyo na tija tutafute hela ya supu
Samaki ili umnase, fanya hivi..hawa majamaa nilitaka kujiunga nao nikashindwa kwani sikuona optn ya nchi yangu Tz afu kweny pesa nikaona mamb ya euro. Yaan nataman nijiunge nao ila nashindwa
mhindi juzi nimempiga mil 9. through betpawa
[/QUOTEHongera mkuu
duuh😱😱😱Samaki ili umnase, fanya hivi..
(1) Hakikisha umeenda eneo ambalo samaki wanapatikana. Yani usijaribu kwenda kumnasa samaki kwenye kidumbwi cha maji mtaani kwako. Nenda bwawani huko au mtoni.
(2) hakikisha una ndoano nzuri
(3) Hakikisha una chambo ambayo samaki wanapendelea zaidi.
Hapo samaki lazima anase.
mhindi juzi nimempiga mil 9. through betpawa
Mkuu Hawa Wanatoa Tips For FreeAmn kitu kimeniuma kma kupishana na odds 40 za camp bet dah nilivo angalia mida ile sa saba nkajua mechi ni ya usiku si nkajua ni mishale ya marekani mida ya sa mbili nataka ni stake kila nki search mechi sioni nakuja kuangalia sofa score mechi imepigwa mchana dah 40 odds Afu ilikua over 6.5 na mechi imetoa 10 goals.
Yaan hawa mi ntawafataaa sijawahi poteza tangu nianze kuwafata mdau nshinshon sijui unazionaa
mhindi juzi nimempiga mil 9. through betpawa
draw au ashinde iko safe sanaLeo Arsenal ataliza watu.