Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Napata kichapo safari hii acha kabisa, nimebeti hadi kwenye michezo nisioijua lakini kichapo kimenifata huko huko.
Kuna muda nawin mkeka mmoja then napigwa mitatu mfululizo.
Nimebet mpaka option ya no goal dk ya 85 od 1.15 na yenyewe imechana zimeingia goal 2 mfululizo utafikiri walikuwa wananisubiria mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23] walikuwa wanakusubiri ww
 
cha kushangaza zaidi eti hawajawahi kukosa 😕😕
Mkuu hawa wanakosea nlishawafatiliaga kuna siku walieka mechi kama sita hvi na mbili zika zingua cha ajabu walizitoa hizo mbili wakabakisha zilizoshinda.. Nkaona japo wanajitahidi ila ni wahuni vile vile..
 
Wakuu kama kuna anae elewa swala la kudeposit na ku withdraw kwa local bitcoin..somo tafadhali au kama ilisha ongelewa humu ndani nipatiwe nipate elimu kidogo.. Nawasilisha ombi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] walikuwa wanakusubiri ww
Mkuu acha kabisa, ila kwenye kichapo hata kampuni za betting zina mchango mkubwa. Nipo zangu huku princesbet option ya over 1.5 wameificha mbali ili ujitoe mhanga na 3+, kwenye Ice hockey ndio wamebana kweli.
Kesho narudi zangu Urusi.
 
Wale wa localbitcoin mshakutana na hili tatizo?View attachment 1240193
Mkuu try their support.....they are very responsive na watakupa sababu za hiyo forced holiday....probably you have been working tirelessly (kiddding).....but on serious note hiyo hutokea pale wanapodetect fraudulent or scamming activity so itabidi ufanye vericication...shot of that just rest your balls!
 
Basket nayo sometime kimeo kweli
Screenshot_2019-10-21-20-36-39-025_eu.livesport.Basketball24.jpeg
 
Napata kichapo safari hii acha kabisa, nimebeti hadi kwenye michezo nisioijua lakini kichapo kimenifata huko huko.
Kuna muda nawin mkeka mmoja then napigwa mitatu mfululizo.
Nimebet mpaka option ya no goal dk ya 85 od 1.15 na yenyewe imechana zimeingia goal 2 mfululizo utafikiri walikuwa wananisubiria mimi.
U

Da eti utafikiri walikuwa wanisubiri mimi[emoji23][emoji23][emoji16][emoji23] da nimecheka
 
Mkuu acha kabisa, ila kwenye kichapo hata kampuni za betting zina mchango mkubwa. Nipo zangu huku princesbet option ya over 1.5 wameificha mbali ili ujitoe mhanga na 3+, kwenye Ice hockey ndio wamebana kweli.
Kesho narudi zangu Urusi.
Umeona nlikuw natembea na over 1.5 nikawapiga san baada ya hapo wakaanza kuzichukua sasa hiv nimekimbilia kweny tennis siku ya kwanz kabis nimewapiga yan kweny tennis ss hunitoi kuna hela san timu zako 3 tu kweny corret set odds za maana mikeka mi3 miwili lazima itiki, mpira wa sasa unaumiza akili san hautabiriki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Back
Top Bottom