Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Indonesia League

Bali United vs Persue
Bali Utd win - 1.26
Pursamania Borneo vs Persepar
Pursamania Win - 1.28

Uefa Youth League U19

Atletico Madrid vs Bayern 04 Leverkusen
Over 2.5 - 1.38
Juventus torino vs Locomotive Moscow
Juventus Win either a half - 1.30
Manchester City vs Atalanta Bargamo
Manchester city win - 1.50

Total Odds: 4.34
 
Napata kichapo safari hii acha kabisa, nimebeti hadi kwenye michezo nisioijua lakini kichapo kimenifata huko huko.
Kuna muda nawin mkeka mmoja then napigwa mitatu mfululizo.
Nimebet mpaka option ya no goal dk ya 85 od 1.15 na yenyewe imechana zimeingia goal 2 mfululizo utafikiri walikuwa wananisubiria mimi.
Betting hamna option rahisi.League ilivyoanza nilipiga kama laki 5 hivi ndani ya siku 3,baada ya kukaa nje ya mchezo karibu mwaka mzima,nikasema yes upepo umenirudia!!Sasa zilivyoanza kurudi ni daah,yaani hata nikiweka team mbili nakula kipigo[emoji23]
 
wale wa NBA game zinaanza kesho tukae mkao wa kupiga pesa mwanzoni pesa huwa ipo ila balaa huwa zinaanzaga katikati ya msimu.....
 
Jackpot hii kwa timu hizi mwenye comment yoyote aseme hapa
1.gent vs Wolfsburg-gent win
2.partizan Belgrade vs Manchester united -man utd win
3.Celtic vs Lazio -Celtic win
4.As Roma vs Borussia Munchengladash-As Roma win
5.Trahzonspor vs FK kransnodar -1win
6.Basiktas JK vs Brag -1 win

Kwa timu chache tu nyingine najua tapata zote,,,
 
Umeona nlikuw natembea na over 1.5 nikawapiga san baada ya hapo wakaanza kuzichukua sasa hiv nimekimbilia kweny tennis siku ya kwanz kabis nimewapiga yan kweny tennis ss hunitoi kuna hela san timu zako 3 tu kweny corret set odds za maana mikeka mi3 miwili lazima itiki, mpira wa sasa unaumiza akili san hautabiriki
Mkuu Tufafanulie Hapa Kweny Correct Set Odds, Naamin Hautapungukiwa Chochote
 
We Are What We Think (BASKETBALL)
Screenshot_2019-10-22-10-16-57.jpeg
 
Betting hamna option rahisi.League ilivyoanza nilipiga kama laki 5 hivi ndani ya siku 3,baada ya kukaa nje ya mchezo karibu mwaka mzima,nikasema yes upepo umenirudia!!Sasa zilivyoanza kurudi ni daah,yaani hata nikiweka team mbili nakula kipigo[emoji23]
Ukisikia mtu anasema betting ni maarifa tu, na siyo bahati huwa nacheka na kukwambia bado huijui betting. Unaweka timu moja Tena probability kubwa ya kushinda inaongoza dk zote inakuja kusawazishiwa dk ya 99 muda wa nyongeza unabaki unaduwaa.
 
Hahaaaaaaaaa KWA lugha. Ya mwamposaa imekusambaziaaa upendoooo
 
Back
Top Bottom