Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umeona nlikuw natembea na over 1.5 nikawapiga san baada ya hapo wakaanza kuzichukua sasa hiv nimekimbilia kweny tennis siku ya kwanz kabis nimewapiga yan kweny tennis ss hunitoi kuna hela san timu zako 3 tu kweny corret set odds za maana mikeka mi3 miwili lazima itiki, mpira wa sasa unaumiza akili san hautabiriki

Ukipost mkeka wako wa tennis ni tag mkuu
 
Umeona nlikuw natembea na over 1.5 nikawapiga san baada ya hapo wakaanza kuzichukua sasa hiv nimekimbilia kweny tennis siku ya kwanz kabis nimewapiga yan kweny tennis ss hunitoi kuna hela san timu zako 3 tu kweny corret set odds za maana mikeka mi3 miwili lazima itiki, mpira wa sasa unaumiza akili san hautabiriki
mkuu, naomba unielekeze kwa kifupi sana unatumia option gani kwenye tennis!
 
Jamani kwa watumiaji wa meridian hivi zile bonus siku hizi wanafanjaje maana naona shinda Ila bonus sizioni
 
Bonus;
1. Ukiweka mkeka wa kuanzia mechi 4 kodi hawakati.
2. Kuna range ya timu mfano mechi 4-6 unapewa bonus ya 25% kwa ulichokula
(Hivyo ndo ninavyoelewa)
Nb. Kadri unavyoweka timu nyingi na % ya bonus inaongezeka. Ukiweka mechi 25 hapo unapewa 100% kwa kile ulichokula kama bonus. Hizo bonus zinawekwa moja kwa moja kwenye main account na sio kwenye bonus acc.
 
Back
Top Bottom