Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HAO CAMPO BET SIO REAL, kiuhalisia odds ni 1.65 wenyewe wanaweka 2.50
hiyo ya jana wanayodai odds zilikuwa 40, kiuhalisia zilikuwa hazifiki hata 15
 
Wakuu, namba ya akaunti ya Bitcoin naionea wapi????

Nimefungua Akaunti kwa Local bitcoin....ila Sijafahamu namba yangu ya Akaunti ya Bitcoin[emoji134]...naiknea sehemu gani???
Mzee unataka kununua COIN au unataka kusend 1Xbet???
 
MAIN VIP TICKET
Norway
Bodo/Glimt – Mjondalen
Tip 1 @ 1.46

England
Sheffield Utd – Arsenal
Tip 2 @ 1.94

Italy
Brescia – Fiorentina
Tip 2 @ 1.96
===============
BONUS TIPS
Denmark
FC Midtjylland – Randers FC
Tip [email protected]

Sweden
IFK Goteborg – Djurgardens IF
Tip [email protected]

France
Lens – AJ Auxerre
Tip [email protected]
===============
Romania
SCM Argesul Pitesti – FC Farul Constanta
Away Team Over 1.5 @ 3.00

Poland
Rakow – Slask Wroclaw
BTTS@ 1. 76
 
Wangekuwa washamuweke mabango kama miaa hivii na lisura lake tungelijua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana ukila ukatoa kimya Kimya hamna matangazo. Ila ukitaka upewe hela yote hapohapo ndio unafanywa bango.
 
FIXED MATCH
  • Arsenal win
  • Brescia GG
  • Lens win
  • Konyaspor Draw
(Total Odds - 23)
 
Wale wa localbitcoin mshakutana na hili tatizo?
Screenshot_20191021-164602_Chrome.jpeg
 
Binafsi natumia sana ila sijawahi kupata hili tatizo
Inaonekana kama wamekublock, jaribu kuwasiliana nao

Au google hiyo maseji yao
Nilifungua account tu na nisha fanya verification lakini nashangaa wamei block..siwezi kununua au kuuza coins
 
Kwa wale watumiao 1Xbet na uko serious kutafuta pesa ya kanji naamini katika mawazo ya pamoja maana jicho nitumialo kuchagua option inaweza isiwe sawa na la mwingine.

Tafadhali pitia mkeka huu kwenye code CM1Z6 ni odd 87 tunaweza zichuja zibaki odd 10 of the highest probability. Then weka code hapa.
 
Napata kichapo safari hii acha kabisa, nimebeti hadi kwenye michezo nisioijua lakini kichapo kimenifata huko huko.
Kuna muda nawin mkeka mmoja then napigwa mitatu mfululizo.
Nimebet mpaka option ya no goal dk ya 85 od 1.15 na yenyewe imechana zimeingia goal 2 mfululizo utafikiri walikuwa wananisubiria mimi.
 
Back
Top Bottom