Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,060
Betting app ipi inapatika kwenye iphone 6 please
Mkuu, ulichokiongea naunga mkono hoja kwa 100%. Sisi watz ni wavivu sana sana (na mimi nikiwemo). Unakuta mtu ana bundle la kubetia halafu anakuja kuuliza namba za simu za sportpesa na anarudia mara mbili mbili. Au anakuja kuuliza jinsi ya kudeposit wakati maelekezo yote yapo kwenye web husika, au akamwuliza mhudumu akamweleza.View attachment 1239543. Kusema UKWELI
Nimeshinda huu mkeka odds zote nimepata humu
Ifikie maali tuwe tuwe tuna discuss odds na betting tips
Mimi nabet all best company za betting naipenda pinnacle na williamhills ila betpawa kwa tz ni best
Ila humi tufikie mahali tuwe tunachat na reply kuhusu tips na jinsi ya kumla mzungu
Sio siku nzima mnaulizana how to deposit
Kuna njia nyingi za kudeposit unaweza ask youtube au goole.
Kama unataka kubet kampuni za njee kaa mtandaoni jifunze njia za kulipia mtandaoni like visa and MasterCard na e wallets Mambo mengine sio uulize hapa
Tuwe kama wanaijeria
Hongera MkuuView attachment 1239543. Kusema UKWELI
Nimeshinda huu mkeka odds zote nimepata humu
Ifikie maali tuwe tuwe tuna discuss odds na betting tips
Mimi nabet all best company za betting naipenda pinnacle na williamhills ila betpawa kwa tz ni best
Ila humi tufikie mahali tuwe tunachat na reply kuhusu tips na jinsi ya kumla mzungu
Sio siku nzima mnaulizana how to deposit
Kuna njia nyingi za kudeposit unaweza ask youtube au goole.
Kama unataka kubet kampuni za njee kaa mtandaoni jifunze njia za kulipia mtandaoni like visa and MasterCard na e wallets Mambo mengine sio uulize hapa
Hapa tukae kujadili jinsi ya kumtomba kanji bai
Tuwe kama wanaijeria
Samahani kwa nitakao wakwanza
Kwanza nimelewa sana hapa
Hongera Mkuu
Na Umeongea Point Sana Ila Ni Ngumu Sana Kwenye Forum Kama Kuzuia Hayo Maswali Cha Msingi Tujitahidi Yapungue.
Kuhusu ODDS
Mimi Ni Mmoja Wa Wahanga Wa Kupigwa Betting Ila Kuna Siku Nilikaa Nikawaza Nikaona Mara Nying Ni Upumbavu Wangu
Timu Nyingi ODDs Mlima Naishia Kupata Loss Tu
Nikaona Niwe Nafanya Hivi,
ODDS: 1.84-1.65
GAMES: 3 Kila Mkeka
Mikeka Mitatu Tofauti
Means Nachagua Timu Tatu Zenye ODDS 1.84 Hadi 1.65 Natia Mkeka Nasuka Mikeka Ya Aina Hii Mitatu Timu Tofauti.
Total ODDS Npata 4 Had 5.... Hutegemea Na Mechi
Nikitoa Mkeka Mmoja Nina Faida Ya Buku 3 mpka 6
Ikitoa Miwili Nina 20k, Ikitoa Yote Basi Napumzika
So Per Day Napata Had 10k Kama Target Na Mtaji Wa Nimeanza Ni 3k Kwa Mkeka Means 9k Per Day.
Nimeanza Jan Nikala Kichapo Ukatiki Mmoja Leo Pia Mmoja
Sikati Tamaa Nakomaa Nayo Hii Mwezi Mzima.
Nilichojifunza Kuliwa Kunatokana Na Tamaa
KAMA UTAWEZA KUKOMAA NA STATEGY YAKO UTALIWA KIDOGO UTAKULA SANA.
Mkuu mbona simple tu we nenda kwenye app store andika BETTING tips zitakuja za kutosha chagua zinazo kufaa ukiona zinakuzingua futa search zingne.Betting app ipi inapatika kwenye iphone 6 please
Mkuu wanaitwake HIO KAMPUNI...Amn kitu kimeniuma kma kupishana na odds 40 za camp bet dah nilivo angalia mida ile sa saba nkajua mechi ni ya usiku si nkajua ni mishale ya marekani mida ya sa mbili nataka ni stake kila nki search mechi sioni nakuja kuangalia sofa score mechi imepigwa mchana dah 40 odds Afu ilikua over 6.5 na mechi imetoa 10 goals.
Yaan hawa mi ntawafataaa sijawahi poteza tangu nianze kuwafata mdau nshinshon sijui unazionaa
Daah mawazo yetu yalifanana asee.. mi pia niliivutia kasi hiyo game nikajua ni usiku asee daah,,,kiufupi CAMPO BET ni hataariiiAmn kitu kimeniuma kma kupishana na odds 40 za camp bet dah nilivo angalia mida ile sa saba nkajua mechi ni ya usiku si nkajua ni mishale ya marekani mida ya sa mbili nataka ni stake kila nki search mechi sioni nakuja kuangalia sofa score mechi imepigwa mchana dah 40 odds Afu ilikua over 6.5 na mechi imetoa 10 goals.
Yaan hawa mi ntawafataaa sijawahi poteza tangu nianze kuwafata mdau nshinshon sijui unazionaa
Ndugu mbona hapo umeingia cha kike?Niliwahi kusema nikaishia kutukanwa na kina Jungle Fighter pamoja na Juma mpemba
Umesababisha jembe langu limepigwa ban?Jungle uungwana ni vitendo mimi sikutaka kumtusi japo uwezo wa kufanya hivyo ninao mkubwa sana ila naheshimu sheria za JF ziko wazi kabisa!
.
Acha apate zawadi yake huu ni mwezi wa 10 usishangae akirejea mwakani mwezi January
Campo betMkuu wanaitwake HIO KAMPUNI...
Campo bet ni timu au kampuni?Amn kitu kimeniuma kma kupishana na odds 40 za camp bet dah nilivo angalia mida ile sa saba nkajua mechi ni ya usiku si nkajua ni mishale ya marekani mida ya sa mbili nataka ni stake kila nki search mechi sioni nakuja kuangalia sofa score mechi imepigwa mchana dah 40 odds Afu ilikua over 6.5 na mechi imetoa 10 goals.
Yaan hawa mi ntawafataaa sijawahi poteza tangu nianze kuwafata mdau nshinshon sijui unazionaa
Akiirerjera àtakuwa under probation one month mwambien kabisa kisuliisuli kimevamia jfKajisababishia mwenyewe kwanini atukane na sheria za JF haziruhusu matusi
Atarejea baada ya miezi isiyopungua mitatu 😝😝
wewe jamaa muongo kishenziAkiirerjera àtakuwa under probation one month mwambien kabisa kisuliisuli kimevamia jf
hawa majamaa nilitaka kujiunga nao nikashindwa kwani sikuona optn ya nchi yangu Tz afu kweny pesa nikaona mamb ya euro. Yaan nataman nijiunge nao ila nashindwaDaah mawazo yetu yalifanana asee.. mi pia niliivutia kasi hiyo game nikajua ni usiku asee daah,,,kiufupi CAMPO BET ni hataariii
lost*live inplay
Liverpool - Win odds (5.65)
nilifuata lakini nikaongeza nayakwangu moja nimelostbasketball za usiku hizo....gudluckView attachment 1239526
Yani hadi wameandika BIG WON asee...hawa majamaa nilitaka kujiunga nao nikashindwa kwani sikuona optn ya nchi yangu Tz afu kweny pesa nikaona mamb ya euro. Yaan nataman nijiunge nao ila nashindwa